No mimi sina kabisa degree ya mass comm. Sikusomea mass comm, nilimaliza tuu form IV nikajiunga RTD, ndio mpaka leo. Kwani vipi kuanza kuulizana elimu humu?.Samahani kaka,hivi una Degree ya Mass Communications kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na serikali??
Mimi sio Masiya, kama mtu muhimu kabisa kama Masiya ambae ni Mungu pamoja nasi, alikataliwa, sembuse mimi?.Kwa hiyo wewe ni Masiya??
Kwahiyo mlikuwa hamfuati Mkuu?Naunga mkono hoja ya Dr. Abbas, uandishi wa habari ni fani, ni kipaji na pia ni taaluma, ina miiko take, haki zake, wajibu wake, misingi yake na zaidi sheria zake. Sheria, taratibu na kanuni za uandishi zifuatwe na maadili yazingatiwe na yalindwe.
P
Shukran.Asante sana kwa ushauri.
P
huna point unabebwa na umaarufuHata Wayahudi walishusha credibility ya Masiya na wakamsulubisha, itakuwa kapuku mimi kushushwa credibility na Bibi Kalamba?.
P
granted.Naunga mkono hoja ya Dr. Abbas, uandishi wa habari ni fani, ni kipaji na pia ni taaluma, ina miiko yake, haki zake, wajibu wake, misingi yake na zaidi sheria zake. Sheria, taratibu na kanuni za uandishi zifuatwe na maadili yazingatiwe na yalindwe.
P
Naunga mkono hoja ya Dr. Abbas, uandishi wa habari ni fani, ni kipaji na pia ni taaluma, ina miiko yake, haki zake, wajibu wake, misingi yake na zaidi sheria zake. Sheria, taratibu na kanuni za uandishi zifuatwe na maadili yazingatiwe na yalindwe.
P
Aanze na TANZANITE FAHARI YETU maana hayo magazeti muda sii mrefu yataleta mauaji ya kimbariNaunga mkono hoja ya Dr. Abbas, uandishi wa habari ni fani, ni kipaji na pia ni taaluma, ina miiko yake, haki zake, wajibu wake, misingi yake na zaidi sheria zake. Sheria, taratibu na kanuni za uandishi zifuatwe na maadili yazingatiwe na yalindwe.
P
Its never too late for anything, better late than never!.Mlikosea long time wakati makanjanja wanaanza now its too late
Kwa manufaa ya ummaNaunga mkono hoja ya Dr. Abbas, uandishi wa habari ni fani, ni kipaji na pia ni taaluma, ina miiko yake, haki zake, wajibu wake, misingi yake na zaidi sheria zake. Sheria, taratibu na kanuni za uandishi zifuatwe na maadili yazingatiwe na yalindwe.
P
Huo umaarufu unaonibeba, umetokana na nini?. Au ni jina tuu la Pasco Mayalla zuri kulitamka?, ndilo linanibeba?.huna point unabebwa na umaarufu
Pascal kama umerukwa akili ni sawa endelea hivyo hivyo, vinginevyo jitathmini. Yaani unawezaje kukubaliana na kila uchafu unaotamkwa na serikali (huu wa Abbas ukiwemo) wakati serikali hiyo hiyo ni bingwa wa kupika uongo!!? Wanataka wasemwe vizuri wakati ndio mabingwa wa propaganda chafu!!!Hata Wayahudi walishusha credibility ya Masiya na wakamsulubisha, itakuwa kapuku mimi kushushwa credibility na Bibi Kalamba?.
P
Ni nzuri kuchambua hoja alizosema msemaji wa serikali kwa undani ili tuweze kusema wanachosema sio sahihiHuyu jamaa bure kabisa, ni wazi kaandika hii twit akitumaini Magufuli ataisoma, maana sidhani kama haya yeye mwenyewe ndani ya moyo wake anakubaliana na alichosema! Ndicho kilichobaki kwa hawa viongozi wa Tanzania!