MSEMAJI WA SERIKALI KUONGEA NA VYOMBO VYA HABARI KESHO TAREHE 30 MAY 2019

Msemaji wa serikali Dr. Hassan Abbas ataongea na waandishi wa habari kesho tarehe 29/05/2019 kesho asubuhi katika kituo cha mikutano cha kimataifa cha julius nyerere
View attachment 1111656lk
Anataka kusema kwa nini wastaafu hawalipwi, kutangaza kujulikana kwa wasiojulikana, suruhu ya korosho, 1.5tr, Kushuka kwa nauli atcl, kupandishwa madaraja na mishahara wafanyakazi na mengine kama hayo. Na kusisitiza maendeleo hayana chama
 
Waandishi watakaokwenda hapo ni wale wasio na ubunifu wa kuuliza maswali yenye mantiki.
Utakuta akiambiwa korosho zote zimepata soko anakubali wakati shangazi yake aliyemuomba vocha asubuhi ileile hajalipwa.
Muandishi mwenye kujitambua kama Charles Hilary huwezi kumkuta pale. Ila wale wa tbccm watakodi coaster.
 
Huyu msemaji. Si ndio alifungiaga MWANANCHI kwa sababu zisizokua na kichwa. Sababu zilikua kama makalio
 
Back
Top Bottom