Uchaguzi 2020 Msemaji wa Serikali, Dkt. Abbas: Suala la CHADEMA kuongeza ubeti wao katika wimbo wa Taifa tumemuachia Msajili wa Vyama vya Siasa

When someone agrees to become another horse for the King to ride, it completely compromises the sense of his humanity.
 
Wasubiri kula chakula kilekile walicho walichowalisha Pro-Kikwete mara baada ya kuingia madarakani. You reap what you plant.
 
Suala kuongeza ubeti kwenye wimbo wa Taifa hata CCM walishawahi kufanya. Kama Msajiri ataamua kupursue hii kitu, basi na CCM nao waguswe kwa minajiri hiyohiyo
 
Sijajua ni kwanini mpaka hivi leo ana Vyeo Viwili cha Ukatibu Mkuu wa Wizara na Msemaji wa Serikali badala ya Mtu mwingine Kuajiriwa pia hapo.
Hizi sarakasi ni kukaa kimya tu maana hata wao hawana maelezo ndo maana danadana zinakuwa nyingi. Hata yule wa TANAPA ana vyeo viwili utafikiri wenye sifa wameisha nchini.
 
Wimbo wa Taifa ni miongoni mwa Nembo za Taifa letu la Tanzania.

CHADEMA lazima wawajibishwe na sheria husika katika kuepusha vilaza kama kufanya mambo ya kipuuzi kama hilo la kuongeza ubeti mwingine katika Wimbo wa Taifa letu.

Wasipochukuliwa hatua sitahiki wanaweza siku nyingine watatangaza kugawa nchi yetu.
 
Shida yetu Kama taifa wale wandioooo wametulelea matatizo makubwa mnooo tusiyakubali haha kwa umoja wetu na Hilo ndio pona yatu watanzania
 
Wimbo wa Taifa ni miongoni mwa Nembo za Taifa letu la Tanzania.

CHADEMA lazima wawajibishwe na sheria husika katika kuepusha vilaza kama kufanya mambo ya kipuuzi kama hilo la kuongeza ubeti mwingine katika Wimbo wa Taifa letu.

Wasipochukuliwa hatua sitahiki wanaweza siku nyingine watatangaza kugawa nchi yetu.
kifungu gani cha katiba ulichonukuu ?
 
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako....
Wakatafute kazi zingine October Hakuna Kodi za kuchezea Tena, kwann sheria nyingi wakati huu wa uchaguzi.
Wapige bani vyombo vyote vya ndani taarifa zitafika tu kwa watu, wapinzani wafanye mazungumzo na media za nchi jirani mfano citizen ipo kwenye decoder zote nchini Tena free ili watz waone kampeni zao either live au recorded kwa kuwatumia Kenya pasipolazimika citizen kuja nchini wazirushe huko huko Kenya ili zionekane huku tz,Hawa wakuja hawana uwezo wa kucontrol akili zetu,tutawashinda kwa hoja tutawashinda kwa mbinu, tutawashinda kwa kura.
 
Katika kosa la kimataifa litakalo fanywa na viongozi wa ngazi za juu wa ccm ni kutumia kigezo Cha walioshinda Kura za maoni za madiwani na ubunge kupitishwa kupeperusha bendera ya CCM mwaka 2020.Walioshika nafasi zote za juu Kura za maoni ni kundi lililokubalika kwa wajumbe wachache ndani ya CCM kupitia kutoa rushwa na kushinda kura za maoni ,wakipitishwa kugombea na upinzani litakuwa kosa la kihistoria katika uchaguzi mkuu ujao ndani ya CCM.

Usiwastue kwani utaki majimbo kwenda upinzani, makonda hawezi shinda kigamboni hata aonge kila mtu,
 
Back
Top Bottom