Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 3,791
- 3,360
Kuna thread moja humu ilitaka inapoonekana nabii au kiongozi ana irrelevancies nyingi katika maamuzi,apimwe afya. Ilitolewa mfano wa Yahya Jameh na kansa ya ubongo vs maamuzi ya kung'ang'ania madarakaMeningitis ni ugonjwa mbaya sana.. Kwa kiswahili ni ugonjwa wa uti wa mgongo unaambukiza sana... Unaweza kuanzia hata kwa wanyama kama ng'ombe... Mwaka 1990 uliipiga Tanzania na mikoa kibao ikawekwa chini ya 'karantini'
Nahofia tuna reincarnation yake