Msemaji wa kundi la Waasi wa Rwanda, Meja Callixte Sankara akamatwa

Dogo yuko analambishwa 'dudu la yuyu' huko gerezani.
Sankara yeretswe itangazamakuru mbere yo ......
thekigali_24-1558104770932.jpeg
 
Kuna jamaa mmoja
anadai kuwa sankara na slim wanajuana vizuri
Na jamaa hawatamfanya chochote kibaya ili jumuiya za kimataifa zione kumbe jamaa hana roho mbaya kiviile,subiri sasa wakishamhukumu kule gerezani ndio ataenda kupata shughuli nzito.

Sio far DMI naona wamegoma kusema walimkamataje.
 
Kuna jamaa mmoja
anadai kuwa sankara na slim wanajuana vizuri
Sasa unadhani watasemaje kiongozi?

Kabla ya hapo walisema ooh Sankara anatumiwa na Ufaransa,amebobea kijeshi mpk PK halali Ikulu anamkimbia hahah sijui bla bla bla kibao,leo Sankara akiwa ananyonyolewa lazima wafanye kama wanajikuna hivi.

Inawezekana hata FDLR na Nyamwasa ni washirika wa Kagame na wanajuana vzr tu,hahah.
 
FDLR ndio wapinzani wa kweli wa slim lkn huyo nyamwasa ni fisadi tu eliyeshindana na slim pia alafu sababu kubwa ya slim kuzinguana na nyamwasa ni uvivu wa jamaa alikuwa akiwekewa malengo hafikishi

Ila tu tuombe Mungu FDLR wasipate support yoyote hawa ni tishio kibaya zaidi now wameanza kulima
 
Nyamwasa sio mtu makini.

Sasa FDLR si walishapata mpk support ya Ufaransa,belgium kipindi flani hivi pia lkn hakuna kitu cha maana walifanya?

Labda wakifanikiwa kutoka huko maporini then wakarudi kwenye civilised world wanaweza kuelewa dunia inaendaj(geo-politics),maana wao wanajua tu ak-47,kuchoma mkaa na kubaka wanawake basii ,hamna kikundi imara pale.

Ufaransa na ubeligiji walitaka kuwapa support ya kijeshi sio kisiasa wakaona kama watatumia mapambano hata kama wakishinda watakuwa maskini wa kutupwa kuliko hata jirani yao burundi kumbuka rwanda haina utajiri wowote zaidi ya akili na roho mbaya ya slim ndio inawapaisha kiuchumi

Sio walitaka walitoa msaada sana tu kwa hao jamaa ila wakagundua kumbe ni mazuzu magic,waka achana nao By the way PK yuko leo France akihudhuria mkutani wa VIVA TECH.

Rwanda Foreign direct Investment(FDI) yao imeshagonga mpk $1bil wkt nchi 'tajiri' ya Burundi ime-attract FDI ya $300,000 yaani dolla laki tatu hahah hela ambazo unanunua Range rover autobiagraph 1 tu hela imekata.

Kweli hawa matajiri wa Tandale wako vzr.
 
Back
Top Bottom