Msemaji Mkuu wa Serikali na Morning Trumpet asubuhi hii

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
328
414
Kuanzia saa 2 asubuhi hii ya leo Ijumaa Septemba 10, 2021, Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa atazungumza kwenye kipindi cha Morning Trumpet cha UTV pale Azam Tv. Usikose kufuatilia.

azamtvtz~p~CTnC2kItWZM~1.jpg
 
Hivi kipindi hiki kinazungumzia masuala mbalimbali ya kiuchumi,kisiasa na utamaduni wa nchi au kunakuwa na agenda maalum.
 
Sijaona bado use maji ukuuu wa serkali,nasikiaga anabwabwaja tu.
 
Back
Top Bottom