johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,616
- 141,442
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema iko nchi moja hataitaja jina GB 1 ya intanet unanunua kwa dola 15.
Hivyo hapa Tanzania bei za Huduma za mawasiliano ni za chini na zinaridhisha
Chanzo: Clouds media
Nawatakia Sabato yenye baraka!
Hivyo hapa Tanzania bei za Huduma za mawasiliano ni za chini na zinaridhisha
Chanzo: Clouds media
Nawatakia Sabato yenye baraka!