Msema kweli mpenzi wa Mungu: Tujikumbushe yaliyotokea kwa Freeman Mbowe kuanzia Nov 2015

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
mbowe.jpg

1. TRA et al, kumdai kodi ya kupanga kwa jengo ambalo kimsingi amelinunua.

2. Kuvunjwa kwa Bilcanas club

3. DAB kumtaja katika list ya watumiaji madawa ya kulevya.

4. Kufanyiwa upekuzi nyumbani

5. Kuharibiwa mashamba yake kule Hai

6. Wabunge wake kufungwa na Lissu kupigwa risasi 38

6.Kunyimwa dhamana kubambikiwa kesi ya uasi na kesi zingine 8.
 
Kabla ya kuunyooshea kidole cha lawama Serikali, Mh Mbowe yabidi ajitathmini jinsi anavyoendesha siasa. Kama anaiheshimu Katiba ya JMT (1977) na ya chana chake cha CHADEMA, ambako yeye ni M/Kiti, anapaswa kutambua kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria.
 
naona akili umeamishia tumboni
 
View attachment 729606

1. TRA et al, kumdai kodi ya kupanga kwa jengo ambalo kimsingi amelinunua.

2. Kuvunjwa kwa Bilcanas club

3. DAB kumtaja katika list ya watumiaji madawa ya kulevya.

4. Kufanyiwa upekuzi nyumbani

5. Kuharibiwa mashamba yake kule Hai

6. Wabunge wake kufungwa na Lissu kupigwa risasi 38

6.Kunyimwa dhamana kubambikiwa kesi ya uasi na kesi zingine 8.
Vibaraka wa mabeberu hawa wamebanwa.

Moja kati ya vitu halisi Duniani ni kodi, kama ulikuwa unakwepa kulipa kodi hapo awali huwezi kukwepa katika Serikali ya JPM kwa kisingizio chochoye kile.

Huyu DJ wa Billicanas alikuwa anaishi kiujanja ujanja sana huku akitafuta huruma kwa wananchi kwamba wapinzani wanaonewa, sasa huenda alizoea awamu zilizopita, awamu hii ya 5 si ya mchezo mchezo hakuna ujanja ujanja. Ni kibano mwanzo mwisho, huwezi ukawa mkwepa kodi uka_survive.
 
Kabla ya kuunyooshea kidole cha lawama Serikali, Mh Mbowe yabidi ajitathmini jinsi anavyoendesha siasa. Kama anaiheshimu Katiba ya JMT (1977) na ya chana chake cha CHADEMA, ambako yeye ni M/Kiti, anapaswa kutambua kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria.
Mkuu ulichokiandika ukiambiwa ukisome tena sidhani Kama utakielewa make ni zaidi ya kiporo cha wiki nzima ni mtazamo wangu tu aisee
 
Kabla ya kuunyooshea kidole cha lawama Serikali, Mh Mbowe yabidi ajitathmini jinsi anavyoendesha siasa. Kama anaiheshimu Katiba ya JMT (1977) na ya chana chake cha CHADEMA, ambako yeye ni M/Kiti, anapaswa kutambua kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria.
Kwani ni lini Mh. Mbowe amejitangaza kuea yeye yuko juu ya sheria?
 
Toka mwaka huo ruzuku za chama hazijulikani zinafanyakazi gani
 
Back
Top Bottom