Msema kweli mpenzi wa Mungu: Tujikumbushe yaliyotokea kwa Freeman Mbowe kuanzia Nov 2015

Kala ela za kujenga chuo cha chadema, zilitolewa na sabodo
 
View attachment 729606


1. TRA et al, kumdai kodi ya kupanga kwa jengo ambalo kimsingi amelinunua.

2. Kuvunjwa kwa Bilcanas club

3. DAB kumtaja katika list ya watumiaji madawa ya kulevya.

4. Kufanyiwa upekuzi nyumbani

5. Kuharibiwa mashamba yake kule Hai

6. Wabunge wake kufungwa na Lissu kupigwa risasi 38

6.Kunyimwa dhamana kubambikiwa kesi ya uasi na kesi zingine 8.
Rubbish,karukaruka sana huyo jamaa yako,hatimaye kanasa,ndege mjanja hunasa tundu bovu
 
Kwa siku kadhaa atakazokaa Mbowe jela ninahisi kutamfanya kuachana kabisa na utumiaji wa dawa za kulevya na akili yake kurudi katika hali ya kawaida. Huyu jamaa hatabiriki pamoja na kichaa mwenziwe Lema. Kabla ya uchaguzi wa mwaka juzi walimtukana sana Lowassa hadharani, cha kushangaza baada ya kuvuta ule msokoto toka Pakistan, akawageuka wenziwe (chadema) na kumgeukia Lowassa huku akimnadi kuwa ndiye anayefaa ila kabla ya hapo alikuwa hafai. Bangi hizi jamani tuziangalie kwa umakini kabla ya kuzivuta.
 
Kabla ya kuunyooshea kidole cha lawama Serikali, Mh Mbowe yabidi ajitathmini jinsi anavyoendesha siasa. Kama anaiheshimu Katiba ya JMT (1977) na ya chana chake cha CHADEMA, ambako yeye ni M/Kiti, anapaswa kutambua kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria.
Kwa mtizamo wako unaona anatendewa na haki?Kiongozi yeyote wa Upinzani ambae chama chake kitakuwa tishio kwa ccm lazima asumbuliwe na serikali.
 
Back
Top Bottom