Msekwa: Nguvu ya Chadema ni kama TANU 1958

tatizo mukama nae kazubaa sana..nape kaona chama kinadhoofika kazi ambayo alikua afanye katibu mkuu ameona haifanyi sijui ni uzee au vipi na nape ccm damu kaona upuuzi kaamua kuingia mtaani mwenyewe kaongea na mzee ruksa jnr(JK), na si mnajua JK hajui kusema NO na pia JK anathamini vijana kuliko wazee ka akina mukama....sasa tatizo liko wapi...mukama kachoka apigwe chini waweke fresh blood anakula tu mshahara wa bure
 
RIP jambazi lisilokamatwa na POLICCM pamoja na ushaidi kuwa chama cha mabwepande kina shiriki wizi wa mali za UMMA
 
Aache unafiki,maneno matupu hayavunji mfupa,kama anaona ccm imeshakuwa hovyo,aende kwenye hicho chama anachoona ni kama TANU.
 
Aache unafiki,maneno matupu hayavunji mfupa,kama anaona ccm imeshakuwa hovyo,aende kwenye hicho chama anachoona ni kama TANU.

kama ujumbe haujafika mbona unachana bango? Waswahili wanasema ukima bango linachanwa ujue ujumbe umefika. usiwaze sana.
 
kama ujumbe haujafika mbona unachana bango? Waswahili wanasema ukima bango linachanwa ujue ujumbe umefika. usiwaze sana.

Ujumbe umefika kila mahali zaidi ya hapo palipolengwa,na matokeo yake ndo kama haya.Nani asiyetaka kuwepo kwenye chama kinachofanana na tanu kama ana nia nzuri na taifa?
 
CCM kubalini tu yaishe, Nape ulitaka uachiwe chama ukitawale mwenyewe, uwe mwenyekiti, katibu mkuu, makamu wa mwenyekiti na katibu bara na SMZ, mhazini uwe wewe na hicho cheo ulichonacho ukiongoze wewe mwenyewe. Naona yanatimia na yatatimia.
 
Moto wa CMD utawafanya waseme mengi!....PEOPLESsssssssPOWERaaaaaaaaaaaa
 
Msema kweli ni mpenzi wa mwenyezi mungu lakini hila halita mponesha na kama alifnaya ufisadi M4C ni dawa yakuuwa wadudu waharibifu awe mzee awe kijana aseme ukweli asiseme kitu kitapigwam wanzo mwisho
 
huyu mzee mjinga sanaa. anafanisha TANU na CHADEMA. tanu kilikua ni chama ambacho hakina ukabila wala udini
 
Back
Top Bottom