Msekwa asema Ndugai yuko sahihi kukataa maamuzi ya CHADEMA kuwavua Wabungge 4

Mkitaka kumjua vizuri huyo Msekwa kuwa anawaza pensheni yake tu, Muulizeni kuhusu Ndugai kumuita Mwambe aendelee na ubunge wakati tayari alishatangaza kuachana na CDM na kujiuzulu ubunge.
Pia wamkumbushe na Nyalandu naye amuite aendelee na ubunge wake.
 
Chadema hawajamvua mtu yoyote ubunge wao pia wanalijua hilo, isipokuwa wanayo haki ya kumfukuza uanachama mwanachama yeyote bila kuhojiwa toka nje. Inawezekana Msekwa hajui kinachoendelea.
Kinachonishangaza mbunge kachaguliwa na wananchi sio chadema wao wamempitisha tu tukaona anafaaa leo hii kwa nn asimalize mudawake kwanza huko kwenye kumpitisha ndio.mgome tena mvumilieni muda uishe sio.kumfuta kabla ha wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom