#COVID19 MSD yaipa KCMC mitungi 300 ya gesi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Kaskazini ya KCMC iliripoti uhaba wa mitungi ya gesi ya oksijeni kutokana uhitaji mkubwa

Bohari ya Dawa(MSD) wametoa mitungi 300 ya oksijeni ili kusaidia kumudu wagonjwa wanaozidi kuongezeka

Kabla ya Corona KCMC ilikuwa inatumia mitungi 50 hadi 60 kwa siku. Kwa sasa wanatumia zaidi ya mitungi 400 kwa siku
 
Wahamishe na ya dodoma na shinyanga huko hali ni nzuri.
 
Back
Top Bottom