MSD wanakaribia kuita walioomba nafasi kwa ajili ya Usahili

masare

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,719
1,782
Wadau naona kumekucha MSD .
Ndani ya siku chache zijazo wataita kwa wale walioomba posts mbalimbali walizozitangaza 27 Februari,2017

Vilevile leo wametoa sahihisho la tangazo kwa wale walioomba nafasi ya Warehouse Assistant ya kwamba inabidi uwe umeandikishwa kwenye Bodi Ya Ugavi na Manunuzi kwa mujibu wa sheria.

Ni hayo tu
 
Attachments

  • 20170313_042903.jpg
    41.1 KB · Views: 43
Dead line walisema siku kumi na 4 baada ya tangazo kutoka so dead line ni kama tarehe 11 so leo siku 3 tyu zimepita et waanze kuita hiyo kitu impocble
 
Wadau naona kumekucha MSD .
Ndani ya siku chache zijazo wataita kwa wale walioomba posts mbalimbali walizozitangaza 27 Februari,2017

Vilevile leo wametoa sahihisho la tangazo kwa wale walioomba nafasi ya Warehouse Assistant ya kwamba inabidi uwe umeandikishwa kwenye Bodi Ya Ugavi na Manunuzi kwa mujibu wa sheria.

Ni hayo tu
Mbna mda mfpi sana tayar watakuwa wamesha chambua maombi ya watu kweli ?
 
Back
Top Bottom