MSD inalipa mshahara kwa mfanyakazi hewa (Laurean Bwanakunu)

Kwa bajeti ya 2022/23 aliyooma Mwigulu juzi, mtu akitenguliwa uteuzi anarudishwa katika cheo na mshahara aliokuwa nao kabla ya uteuzi huo.
kidogo hii mwigulu kachez kama peleee.. huwezi mshusha cheo mtu alafu mshahara anapokea na boss..
 
Tatizo Bwanakunu alichomolewa kwenye NGO hakuwa mtumushi wa.serukali sijui JK aliona nini toka kwake na alipoteuliwa kelele zilipaa
 
Back
Top Bottom