Msc in Data Science vs Msc in Mathematical Modelling

ndo maana nakwambia we ni fala,huna unachojua,na bado una mentality za kitoto zile za kushindanisha combination.
ngoja ss nikueleze maku ww ,advance level nimesoma EGM, nikapata scholarship nimesoma canada degree ya Economics and Statistics nikapata first class. nimemaliza nikasoma masters ya computer science with focus in Data science, ,nilisomaje masters ya CS nikiwa na background ya Ecconomics, kazi kwako kujua matako ww!!
Achane nayo huyo mtoa mada ni mwehu. Nimeanza kuona majibu yake anzia mwanzo, ni mtu mjinga mjinga.
 
Bila Shaka Mkuu
Nimekuelewa , wewe unaongela data science kama course content na mimi naongelea kama big world....

Kwa dunia zilizoendelea sio lazima uwe umesomea technical based subjects kama inavyochukuliwa na dunia ya tatu.
Na kama umesomea pia ni advantage, kwa hiyo ukisomea data science na kuwa data scientist narudia tena sio lazima uwe umesomea masomo ya sayansi,
Dunia ya juu, labda sio Africa kila kitu kinaendeshwa na data, iwe unafanya shopping online, unatap kadi yako iwe ya treni , au na ya benki, kununua vitu sokoni au madukani, kila unachoaangalia kwenye mitandao ya jamii, kuna watu nyuma hii process ambao kazi yao kama data scientist kazi yao ni kutengeneza algorithm kufuatilia trend zako ili kukutumia matangazo ya biashara kwenye email yako au simu yako kutokana na maisha yako , kukutumia habari na mihemko inayofanana na ufuatiliaji wako wa mitandao na tovuti....yaani kama unapenda kustream movies, unapenda kula pizaa , unatumia sana usafiri wa umma, unapenda habari za daimondi......hizi utakuwa kila ukifungu mtandao ndio habari za kwanza unaziona kwenye simu yako au kompyuta....


Ni neno lenye maana kubwa sana tena sana kwa dunia ya leo, au labda wewe unaangalia hili neno kama module ya course fulani...
Amazon amekamata dunia kwa data driven business, ukiwa unajua data science Amazon wanakuhitaji sana tena sana..na fecibuku wanakutafuta, na sasa na hii korona ndio kila serikali za dunia hii zimejua zinahitaji data scientist kuchakachua R number ya covid.... pia kufuatilia mienendo ya wananchi na tabia zao yaani serikali zimekuwa BIG BROTHER kinyemela....

Kwahiyo kwa siku za usoni, huyo mwanafunzi aelewe tu kuwa data science kiujumla ndio habari ya mjini..........
Lakini Mr. ujaribu kuichukulia Data Science kwenye mazingira ya Tanzania utakua umemsaidia vizuri mtoa mada.
 
Lakini Mr. ujaribu kuichukulia Data Science kwenye mazingira ya Tanzania utakua umemsaidia vizuri mtoa mada.
Nishafanya maamuzi sista
20211023_100935.jpg


Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hapa ume mbwelambwela kinyama.
Umeongelea kitu usichokijua. Data science ni kitu kikubwa sanaaa kuliko ulivyokielezea. Infact kwenye masters yake ni kama atakuwa ameona a tip of the iceberg kumbe deep down ocean kuna barafu kubwa mno lipo submerged in the water. Angalau angesoma mpaka PHD ndiyo atakuwa amefikia nusu ya data science field.

Tafadhari google kidogo kujua data science ndiyo nini na kina nafasi gani kwenye ulimwengu wa sasa wa tekinolojia ya tehama au teknolojia kiujumla.

Hiyo kitu ni pana na kubwa sana. Ina overlap kwenye field nyingi sana za sayansi, biashara, uchumi n.k.
Hivi Mkuu mtu aliyesomea Msc. Actuarial Science ana'qualify kufanya PHD ya Data Science?
 
Hivi Mkuu mtu aliyesomea Msc. Actuarial Science ana'qualify kufanya PHD ya Data Science?
Watu wanao qualify kusoma PhD ya Data Science kwa UDSM ni wenye M.Sc. ya Computer Science, Computer Engineering, Statistics, Mathematics, Actuarial Science (huyu amesoma programming na statistics ana qualify kabisa), IT, na Engineering mfano Telecommunication na zingine pia zina qualify.
 
Hii ndio course content ya hiyo data science.
1. Research Methods in science,
hizi research methods huwa zipo covered hata kwenye masomo mengine

2. Problem Driven Group Project

3. Programming in Python and MATLAB, hivi ni vitu vidogo kujifunza na karibia course za science na engineering wanavicover siku hizi.

4. Statistical Methods for Data Science, kidogo hapa utakua mgeni kidogo, ila haitakua tofauti na ile statistical method ya science ya kawaida.

5. Machine Learning Algorithms, hapa ni hesabu sasa, utajifunza algorithim zinazotumika kwenye machine learning, kwa mtu anayezijua hesabu ni vitu vidogo hivi.

6. Data Analysis, Visualization and Use

7. Big Data Analytics,
neno big data lisikuchanganye mkuu, vyote hivi ni vitu vidogo, hapo anamaanisha jinsi ya kuanalyse data nyingi. Unakuta mfano una millions of data, how do you analyse, unaitaka data ya laki tano unafanyaje ili kuichukua ndani ya muda mfupi na mambo mengine yanayohusu data analysis.

Mimi kwa ulewa wangu ukiisoma hii content hapa, unaweza kuicover kwenye masters ya masomo mengine kama ukifanya option ya somo la data science.

Mimi sihitaji kuandika mambo mengi, nina mambo mengi kidogo.

Ila usichukulie neno
Data Science kama data Science, jaribu kuangalia course content na kuona kama vitu vilivyomo humo ndio unavihitaji au la.

Nasema hivyo kwasababu mtu wa mathematics, computer science, statistics na engineering mfano petroleum engineering anaweza kufanya kazi za data science. Kwasababu probably ukiweza kucode kwenye python na Matlab kwa ufasaha then ukailewa na hiyo machine learning na AI kwa ufasaha utakua umeicover hiyo data science kwa 50 percent.
Nakubaliana na wewe...
Data science is too narrow.
Ukitafuta degree usijiweke kwenye njia inayokufunga. Always diversify na weka akilini uwe na options maana hujui baadae kazi zitatoka wapi.
Hivi sasa niko katika mchakato wa kutengeneza "data strategy" ya department yangu, kwahiyo nina ukaribu nahili swala
 
Nakubaliana na wewe...
Data science is too narrow.
Ukitafuta degree usijiweke kwenye njia inayokufunga. Always diversify na weka akilini uwe na options maana hujui baadae kazi zitatoka wapi.
Hivi sasa niko katika mchakato wa kutengeneza "data strategy" ya department yangu, kwahiyo nina ukaribu nahili swala
Na hyo data science ni kujilimit kwa fursa Bora uwe na diversity, hyo data science wengi wanaweza fanya tu kwenye field mbalimbali
 
Back
Top Bottom