Msc.Finance

young prof

Member
Sep 20, 2012
37
11
Wana JF naombeni mnisaidie katika hili,kuna ndugu yangu anataka kusoma hii masters huko kwa malkia (UK),sasaa anasema akiangalia ada ipo expensive kidogo kuliko masters nyingine..mimi naomba kuulizia ubora wake,na inakupa opportunities gani labda ukiwa nayo ili nipate kujua sababu kwa nini inakuwa juu kuliko nyingine

Nawasilisha!!
 
young prof MSc Finance inawaandaa watu kuwa wataalamu lakini siyo watawala kwa maana masomo ya management siyo sehemu ya sillabus. Ni kweli ada iko juu si MSc Finance tuu hata MBA za UK ziko juu; kama mkono wako ni mfupi basi bora usome hapa nchini kwenye vyuo kama IAA,IFM na Mzumbe. Mmi nimechukua hiyo lakini ONLINE ili kuendelea kutumikia familia yangu na huku najiendeleza, ada ni kubwa karibu mara tatu ya ESAMI
 
Last edited by a moderator:

Pamoja mkuu,lakin vp marketability yake kwenye soko la ajira hapa bongo?compared na mtu kuchukua masters labda in marketing au HRM
 
young prof mimi sisome ili kuajiriwa nasoma ili kuengeza uwezo wangu wa kujiajiri kama Consultant
 
Last edited by a moderator:
mkuu pale IFM wanatoa Msc finance ya chuo cha uk fees yao ni £4000 tu wakati ukija ukisoma huku unatakiwa ulipie £17000 kwenye hicho chuo, hata waingereza wenyewe hawalipi hiyo ada now wanalipa £8500 ila kuna tetesi kuwa pale ifm fees itapanda muda si mrefu baada huku kupanda nako so ni bora kuchangamka sasa hivi. au unaweza kusoma pale IAA (kupitia coventry university uk)wana branch pale dar (pugu road kwenye zile nyumba za manji bila kukosea) wana Msc Investment and financial services na course nyingine sijui ni ipi. tena wao mara ya kwanza walikuwa wanatoa schoolarship unalipa Usdollar 4000 tu wakati ukienda kwao uk unalipa £12720 hizi sijui ni dollar ngapi now, so bado una nafasi ya kutosha, na kwa upande wa serikali ya JK kupitia wizara ya nishati ndio inawapeleka wafanyakazi wao kwenye hicho chuo kusomea mambo ya OIL and gas management kwa ngazi za master kuwaandaa wafanyakazi kwenye mambo ya gas and oil, naona hata malawi wamewapeleka vijana wawili kusomea mambo ya oil and gas management kwenye hicho hicho chuo nikawa najiuliza malawi wanategemea kupata oil kupitia ziwa nyasa na bado ziwa lina mgogoro hapo ndipo kazi ipo, ila ni uamuzi wako mkuu kulingana na mfuko wako.
 
Nashukuru sana mkuu,umenisaidia,na vipi soko lake o reputation yake hyo masters ukiachana na kukuongezea uwanja mpana wa kujiajiri?
 
mkuu reputation yake iko juu sana kwa mfano kwa mfano hicho ambacho kiko ifm ni cha 14 kwa ubora wa business studies kati ya top 117 universities UK halafu coventry ni cha 41 kwenye hiyo hiyo fani ya business studies kwa zaidi mkuu ingia google ufuatilie vyuo mkuu.
 
Poa sana mkuu,pamoja sana
 
Mi nataka nisome masters ya education with mathematics,cjui ipo masters kamahyo maana ni tcha na napendasana maths,na nataka kupandisha kasalary,msaada plse kwa open unv,au chuo kingine na vigezo vya kusoma.
 
muanzisha mada anataka kujua hali ya ajira kwa waliosoma master in fainance sijaona aliyetoa jibu , kwa mi navyoelewa halo ya ajira tz haijalishi umesoma kozi gani, kinachoangalowa no kiasi cha rushwa ulichotoa au km kuna mtu anayeweza kukupigia pande. Tofauti na hapo hata ukiwa na phd utaishia kuwa na vyeti tu labda upate akili ya kujiari
 
Mkuu nashukuru umefaulu mtihani wa kuelewa swali,ingawa kwenye jibu sina uhakika sana
 
Mi nataka nisome masters ya education with mathematics,cjui ipo masters kamahyo maana ni tcha na napendasana maths,na nataka kupandisha kasalary,msaada plse kwa open unv,au chuo kingine na vigezo vya kusoma.

mkuu master hiyo kwa upande wa uk kuna vyuo vinatoa hiyo elimu tena ni wachache sana wazungu wanaosomea maths si unajua maths ni shughuli kwa wote but kwa tanzania sijui chuo kinachotoa hiyo master labda ucheki na UDSM
 
Pamoja mkuu,lakin vp marketability yake kwenye soko la ajira hapa bongo?compared na mtu kuchukua masters labda in marketing au HRM
nkusaidie kidogo hasa pale mzee ndachuwa alipoongezea ,MSc na MBA zina tofautiana kwenye syllabus,infact uki dig much humo kwenye hizo curriculum zao unakuta objective yao ni mmoja tu hasa kwa mambo haya ya (business&finance) kwenye ajira kama unavyouliza huwa kama masters ni preffered and not required basi, zote zina apply though kwa Senior level ambazo zinahusisha advisory and decision making(MBA) inaaply,lakini kwa maana ya nafasi ambazo ni za kawaida nyingi MSc do apply also
Best Regards kwa unaloenda kufanya
 
Shukran sana mkuu,mm naona bora Msc finance coz ntabak na utaalam utanisaidia hata kwenye ishu alizosema mkuu pale za consultancy,MBA system zetu hzi unaweza hzo senior positions usiziguse mpk unastaaf
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom