Msanii wa uchoraji tanzania na hazina ya taifa letu mr raza mohamed

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
Mohamed Raza ni Msanii Maarufu wa kimataifa ambaye ni hazina Halisi ya Taifu letu la Tanzania, alianza kazi yake ya sanaa za kuchora tokea enzi za Uhuru wa Tanganyika. Vizazi zaidi ya

viwili vimenufanika na kuelimika kwa kusoma vitabu vyake tokea shule za msingi mpaka secondary hasa vya kiingereza kama familia ya Mr & Mrs Daudi na Mtakuja Primary School. Mbali na hapo Mzee Raza aliwahi kumchora Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere Miaka ya

1960 na kufanikiwa kupata kazi katika chama cha TANU. Pia aliwahi kufaya kazi katika ubalozi wa Marekani Hapa Tanzania miaka ya 70. Hii ni Sehemu ya kwanza, URBAN PULSE PRODUCTIONHaya tena shemeji yangu nakuona unavyojieleza Mashallah bado una dai .............
 
Last edited by a moderator:
Huyu mzee namkubali aisee na kazi zake huwa nazipenda kwakweli, nakumbuka nikiwa mdogo tulikuwa tunakwenda nyumbani kwake pale Mwenge kijijini kuangalia picha zake. Thx for the footage mkuu.
 
Yeye ni Mwalim wa Uchoraji hapo chuo Kikuu Cha Dares-Salaam Mkuu bujibuji shemeji yangu mimi huyoooooooooo anaishi mwenge mwisho wa kituo cha basi .
 
Back
Top Bottom