Msanii wa Tanzania maarufu kama Darasa asakwa na polisi Kenya kwa kukiuka mkataba

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,238
50,411
1552555.jpg


Waliingia kwenye mkataba kwamba atatumbuiza kwenye klabu cha Sharks Great Club, mashabiki wakafurika kwenye klabu wakimsubiri kwa hamu baada ya kulipia kiingilio. Muda ukaisha bila jamaa kuonekana wala hakutoa sababu.

Mmiliki wa klabu aliishia kuwarejeshea mashabiki hao hela na wengine wakaamua kunywa pombe tu kama mbadala.

Natumai jamaa atakua na sababu za kuridhisha maana ameanza vibaya, afahamishwe na wanamuziki wenzie huko Bongo kwamba Kenya ndio imewajenga na kuwalea. Kila wakija kutumbuiza huwa wanapata mamilioni na kugeuza hadi Bongo.

Alikua na fursa ya kuteka soko la Kenya kuanzia Pwani hadi Nairobi lakini kama anaanza kwa ujeuri, basi itakula kwake. Kama ameota pembe tutamuogezea mkia. Aite wanahabari na kueleza, labda itakua alihisi kudhulumiwa au ana sababu zake.
Kuna yule Mr. Nice tulimjenga na kumlea ila akaishia kuwa teja na mlevi, kila tukimsubiri kwenye jukwaa jamaa analemewa na ulevi hadi tukamtolea mbali.

-------------------------------------------------------------------

Tanzania's newest hip hop sensation and Muziki hit maker is wanted by the police for failing to perform at Sharks Great Club in Likoni Shelly Beach.

The star, who was booked for the big concert on Saturday, failed to attend for reasons best known to himself.

The show MC Gates Mgenge said about 1,000 revellers attended the highly hyped event, which turned chaotic after it was revealed that Darassa was not going to perform.

The angry revellers were refunded the money they had paid as entrance fees.

"I saved the image of the newly launched club. In fact, I personally engaged and ensured that everyone was refunded either in cash or drinks," Mgenge said.

Club owner Mohamed Ahmed said he used over Sh200 million to construct the club, and he cannot accept people to come easily and con him.

He also added that he signed the contract with Darassa's managers and he was supposed to be paid TZ Sh22 million, which is equivalent to Sh500,000.
"I'm a very bitter man. I have invested heavily in this club. My manager Steve Abel is in Likoni police as they trail Darassa to come record a statement," he said.

The performance agreement obtained by Word Is from the club management is signed by Charles Magangi with ID number 3740391, but Darassa's real name is Shariff Thabeet, raising doubts about its authenticity.

"Should the intended performance by Darassa as agreed herein fail for whatever reason, Darassa's management team will compensate Sharks Great Club Sh1 million or even more, depending on the actual level of damages suffered, and reimburse the deposit paid by Sharks Great Club," the statement reads.

Likoni deputy police boss Antony Shimoli said investigations are ongoing.

"I can't comment more on this. It's still in the early stages but CID officers have moved in and are investigating. But what I can assure you is that all those found in the scandal, even in the neighbouring country, the law will catch up with them," he said.

Darassa, who is in Nairobi, only replied by message, saying that he is not aware of such a show in Likoni.
Darassa wanted by the police for Likoni event 'snub'
 
Alitubeep, asubiri kupigiwa...

Hili suala alikwisha litolea Ufafanuzi muda mrefu kabla ya Ppolisi wenu kutafuta sifa ya kuandikwa kwenye vyombo vya habari!!



Tunajua sasahivi mmekuwa mkianzisha chokochoko nyingi!
lakini mjue Mnacheza na Kibiriti kwenye Tank la petroli
Ipo siku
 
Ndio Tatizo La Misanii Ya bongo..

Alafu wakibuma wanaanza kusema "Diamond Ni freemasonry Ndio MaanA Anafanikiwa"..

Amelewa sifa na ka hit song kamoja
 
Acha bla blaa zenu!anzane kulea takataka zenu...!hamjalipa chapaa alf kelele nyingi.!
 
Hili suala alikwisha litolea Ufafanuzi muda mrefu kabla ya Ppolisi wenu kutafuta sifa ya kuandikwa kwenye vyombo vya habari!!



Tunajua sasahivi mmekuwa mkianzisha chokochoko nyingi!
lakini mjue Mnacheza na Kibiriti kwenye Tank la petroli
Ipo siku


Muda wote huu umekua ukishobokea taarifa za Wakenya bado hujajifunza kingereza, hujaachaga hizi tabia za kukurupuka bila hata kujua mada inaongea kuhusu nini. Likoni na Nairobi wapi na wapi....
 
wakenya bwana, eti nyie ndiyo mmewajenga na kuwalea wanamuziki wetu! Mbona mmeshindwa kujenga wenu?

Wanamuziki wote wakiwemo Wakenya tumewalea, sio Wabongo tu yaani wa ukanda wote huu wakiwemo Bakongo lazima watinge Nairobi ili wapate kiki ya maisha. Huko Bongo wana mashabiki wengi wavaa milegezo tu lakini wabahiri hawataki kulipia show za kweli.

Pata huu uhondo wa Mbilia Bel kwanini Nairobi, Mombasa, Kisumu, Nakuru... Yaani huu wimbo ukichezwa kwenye live band za Zanzibar huwa lazima niwatunze wasanii.
 
Wanamuziki wote wakiwemo Wakenya tumewalea, sio Wabongo tu yaani wa ukanda wote huu wakiwemo Bakongo lazima watinge Nairobi ili wapate kiki ya maisha. Huko Bongo wana mashabiki wengi wavaa milegezo tu lakini wabahiri hawataki kulipia show za kweli.

Pata huu uhondo wa Mbilia Bel kwanini Nairobi, Mombasa, Kisumu, Nakuru... Yaani huu wimbo ukichezwa kwenye live band za Zanzibar huwa lazima niwatunze wasanii.

Hivi kenya hakuna wasanii mkawalea wakwenu,,kwa sasa E & C Africa hakuna zaid ya Bongo,
 
Hivi kenya hakuna wasanii mkawalea wakwenu,,kwa sasa E & C Africa hakuna zaid ya Bongo,

Uelewa wenu mdogo, lazima mtu arudie mara kumi ndio uelewe chochote. Nimesema Kenya tunalea wanamuziki wote, wa kwetu na hata wa mataifa ya nje. Lazima kila msanii apambane ili afike Kenya ndio aanze kuwa mtu wa kusikika, la sivyo ataishia kuwatumbuiza wavaa milegezo hapo Bongo mpaka basi.
 
Back
Top Bottom