Msanii wa Injili atangaza kushiriki mapenzi ya Jinsia moja

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,370
Msanii wa muziki wa Injili kutoka nchini Rwanda Albert Nabonibo 35,amekiri kushiriki mapenzi ya jinsia moja(Shoga).

Hii inamaanisha kuwa Nabonibo ameficha mahusiano yake kwa muda mrefu lakini hatimaye ameamua kuvunja ukimya.

Tayari ameanza kupokea ujumbe wa matusi tangu alipotangaza hadharani kuhusu mahusiano yake Siku ya Jumapili kupitia mtandao wa YouTube wa shirika moja la kidini.

Alipoulizwa na BBC iwapo ana mpenzi mmoja alisema kuwa hana mpenzi mmoja ila amekuwa akijihusisha kimapenzi na wanaume tofauti tofauti.

Licha ya changamoto anazopitia Nabonibo anasema kuwa ataendelea kumtukuza Mungu na "kumuimbia".

Chanzo:BBC Swahili.

Sasa Najiuliza Hizo nyimbo za Injili anazoimba zinalenga kuwapeleka wapi watu?Ushogani au kwa Mungu?
View attachment 1192685
_108518801_b1f85325-8834-4c68-a2bb-af401fb9eb50.jpeg
 
sa
Msanii wa muziki wa Injili kutoka nchini Rwanda Albert Nabonibo 35,amekiri kushiriki mapenzi ya jinsia moja(Shoga).

Hii inamaanisha kuwa Nabonibo ameficha mahusiano yake kwa muda mrefu lakini hatimaye ameamua kuvunja ukimya.

Tayari ameanza kupokea ujumbe wa matusi tangu alipotangaza hadharani kuhusu mahusiano yake Siku ya Jumapili kupitia mtandao wa YouTube wa shirika moja la kidini.

Alipoulizwa na BBC iwapo ana mpenzi mmoja alisema kuwa hana mpenzi mmoja ila amekuwa akijihusisha kimapenzi na wanaume tofauti tofauti.

Licha ya changamoto anazopitia Nabonibo anasema kuwa ataendelea kumtukuza Mungu na "kumuimbia".

Chanzo:BBC Swahili.

Sasa Najiuliza Hizo nyimbo za Injili anazoimba zinalenga kuwapeleka wapi watu?Ushogani au kwa Mungu?
View attachment 1192685View attachment 1192686
safi, huyo ni msanii si "muimbaji"

wapo wasaanii wengi, hata diamond ameimba halelujah, ni msanii wa injili.
 
Moto wa milele unamhusu
Anamuimbia shetani
Sio wote wamuitao Bwana Bwana ndio wakristu kweli
Wapo walio wa shetani na wao watamfuata na kumuabudu
Shetani ni malaika aliyemuasi Mungu na kutupwa duniani
 
Huko kanisani hiyo ndio kawaida yao, sasa mnashangaa nini?
 
Back
Top Bottom