Msanii wa filamu, Steve Nyerere ameweka wazi mpango wake wa kugombea nafasi ya Ubunge katika jimbo la Kinondani baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Mhe. Maulid Mtulia kupitia tiketi ya CUF na kukihama chama hicho na kuamua kuhamia CCM hivyo na kupoteza sifa ya kuwa mbunge.
Anadai nafasi hiyo sasa ipo kwajili yake na kwamba aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Maulid Mtulia alimuogopa yeye Steve Nyerere ndo maana akajiuzulu na kuhamia CCM.
Nyerere anaahidi kuwatendea haki wananchi wa Kinondoni na kwamba Kinondoni ni kama Texas kwani marais wote wanatokea jimbo hili na Kinondoni pia inahitaji kijana kutokana na sehemu nyingi na taasisi nyingine muhimu kuwa Kinondoni.