Msanii wa CHADEMA aliyehongwa na CCM awatosa

si halali hata kidogo..kama sekretarieti ya chama chini ya makamba imeishiwa mbinu ...iondoke...ni aibu!!

Mkuu ninakubaliana na wewe kabisa, majuzi nilimuuuliza mkuu mmoja wa CCM kwamba inawezekanaje kumpa Komba, shillingi millioni 50, kwa ajili ya uchaguzi mmoja tu tena wa Tunduru, na hizo hela zinaweza kuwa zimetoka wapi? na how did Makamba survive the ax majuzi Dodoma, kwa sababu sio siri kuwa uwezo wake ni mdogo kama kiongozi wa chama kinachotawala, amejiingiza sana kwenye majungu kati ya viongozi wa CCM, I mean aliyomfanyia Kigoda kwenye uchaguzi wa NEC, ilikuwa ni aibu nzito sana,

Mkuu huyu wa CCM, kutoka Visiwani, ambaye pia jana Jumamosi nilizungumza naye tena, akitaka more info kuhusu BOT,na hasa Balali, aliniambia kuwa CCM wanakutakana next month, this time watakutania Butiama, na kwamba itakuwa kiama kwenye hicho kikao, kwa sababu sasa hivi kuna vijana wengi wapya, ambao ndio hasa waliomuangusha Kingunge kwenye cc, na pia wakamkatalia Muungwana, kuwapitisha Msuya na Salim, kuingia bure cc, akasema kuwa na hii ishu ya BOT ndio kabisa utawaka moto, pia aliniahidi kujaribu kuigusa ishu ya Komba, ambayo alisema kuwa viongozi wengi wa juu, hawapendi kuigusa kabisa hiyo ishu!
 
...juzi komba katengewa milioni 80...kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa kiteto kuziba nafasi ya marehemu loosurutia...ccm wanapanga kutumia jumla miliuoni 600 kwenye uchaguzi huo mdogo.....habari ndio hiyoooo!!!

ndio maana no wounder komba ana pesa hadi anaingia kwenye mashindano ya mabibi na kuvaa cheni kubwa na watoto wa juzi kina mpakanjia ..na kushindania nanio ana gari mpya!!!

kuhusu jk kutaka kumuingiza salim cc..hiyo ilikuwa usanii tu kukataliwa serious angetaka salim awe cc asingeshindwa!!!....baada ya kumchafua vya kutosha alitaka kujikomba tu ..hana lolote,..sanasana mtu wake hapo ni msuya..kama alivyo peter kisumo[huyu alikuwa mtandao na kuna wakati tukiwa kwenye ndege kwenda mwanza...wakati huo ushindani mkali ukiwa muungwana na salim...tulimsikia wazi akimtukana salim kwa maneno ya kibaguzi ..kwa baraka za kambi yake!!]
 
Nilifundishwa kuwa tani moja ni sawa kabisa na kilo moja moja zipatazo elfu moja.

Kwa hiyo kama sitaki tani moja ya rushwa lazima nichukie hata hizi za kilo moja moja kwa vile ndizo baadaye zinafanya iwe tani moja ya rushwa.

Nachukia rushwa za aina yoyote, iwe kilo moja au tani moja. Sijui CCM wanaonyesha uongozi wa namna gani dhidi ya rushwa kama wanafanya mambo ya aina hii. Inanitia hasira sana hasa nikijua kuwa CCM ndicho chama kilichoasisi taifa hili.
 
......in last election ccm walipata ushindani mkali kutoka kwa CHADEMA pale na huyo loosurutia alishinda kwa difference ya kura if not mistaken 100..was against chademas ole-kimeseeras..AMBAYE KAMA WATAMPITISHA MWAKA HUU NA WAKAWEKA MGOMBEA MMOJA UPINZANI ITAKUWA AL HAMDULULAH..KWA KUWA WAPINZANI WANAPITA HUMU TUWASISITIZE KUUNGANA!!!

HALI YA KISIASA KITETO NI NGUMU KWA CCM...JUZI MBUNGE WA JIRANI ALIKUWA NA MKUTANO MERERANI..WANANCHI WALIMVURUMISHA KWA MAWE AKAKIMBIA NA KUDANDIA GARI LAKE ...WALILIPIGA MAWE HADI LIKAPASUKA KIOO CHA NYUMA..HII HABARI ILIBANWA HAIKUTOKA..AU LABDA HAPAKUWA NA MWANDISHI PALE....SIKU MBILI BAADAYE ZITTO ALIFIKA NA TUME YA MADINI AND THE SAME WANANCHI WERE SOO EXCITED...HADI IKABIDI PILISI WAJE KU CONTROL CHEERING CROWD...SO MNAWEZA KU ANALYSE HAPO!!
 
Msaada kwenye tuta tafadhali?

Hivi Kiteto na Shimanjiro ni majimbo mawili tofauti au? Maana najua Simanjiro ndio mererani ilipo ... so far huko CCM haiwezi kutia timu!

Naomba kufahamishwa!
 
Nilifundishwa kuwa tani moja ni sawa kabisa na kilo moja moja zipatazo elfu moja.

Kwa hiyo kama sitaki tani moja ya rushwa lazima nichukie hata hizi za kilo moja moja kwa vile ndizo baadaye zinafanya iwe tani moja ya rushwa.

Nachukia rushwa za aina yoyote, iwe kilo moja au tani moja. Sijui CCM wanaonyesha uongozi wa namna gani dhidi ya rushwa kama wanafanya mambo ya aina hii. Inanitia hasira sana hasa nikijua kuwa CCM ndicho chama kilichoasisi taifa hili.

Unadhani wakati anaingia ni kweli alipewa hizo ahadi au ni propaganda zake ili wavivu wa kufikili wampokee kama mwana mpotevu alierudi kundini,najua mnataka wanachama likini wanachama cheap kama hawa ni mzigo kwa vyama vyote vya siasa Tanzania.binafsi wala simjui huyu ni msanii gani kwa kuwa ata jina hana,nadhani ni kati ya wababaishaji wa hapa mjini.
 
Msaada kwenye tuta tafadhali?

Hivi Kiteto na Shimanjiro ni majimbo mawili tofauti au? Maana najua Simanjiro ndio mererani ilipo ... so far huko CCM haiwezi kutia timu!

Naomba kufahamishwa!



kasheshe...simanjiro inapakana na kiteto..ndio maana nikasema jimbo la jirani..na mbunge aliyezomewa na KUPIGWA MAWE ni CHRISTOPHER OLE SENDEKA...gari yake imepasuliwa kioo cha nyuma...ukitaka ingia kwenye mtandao wa bunge kuna namba yake ya mkononi...mpigie umpe pooole!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom