Msanii top c aliyeimba wimbo uliyotamba wa "sababu ya ulofa" aweka mahabusu - mbulu

Muk

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
547
70
Msani wa mziki wa kizazi kimya yani bongoflava top c juzi usiku kwenye mkesha wa mwaka mpyaalikamatwa na kuweka mahabusu na polisi wilayani mbulu kwa kosa la kulewa paka kushindwa kujitambua na kuleta fujo.
 
unafanyaje fujo kama hujitambui? asiyejitambua huwa ameduwaa tu. Huyo alifnaya fujo kwa makusudi
 
Kwa hyo unatuambia sisi wana jf ili tukamwekee dhamana au?
 
Kachoka xana jamaa uyu jaman..anashinda tabata matumbi pale anacheza kamari 2...
 
dah,alaf jamaa si ameoa na mtoto anae.?
bob junior amuokoe mshkaj wake..
 
Somalia hakuna sharo baro wala mbana pua vipi alienda uko kwa wa iraq kuwabania pua ingekua mjinii uku watu wange nawatu shigongo auze magazetii?.
 
Back
Top Bottom