Msanii Snura afungiwa kujihusisha na sanaa, TCRA waagizwa kuifuta video ya Chura mtandaoni

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Messages
1,697
Likes
958
Points
280

RUCCI

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2011
1,697 958 280
chura-e-jpg.344659

Katikati ni mkuu wa Kitengo cha mawasiliano wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Zawadi Msalla akiwa na maafisa wengine wakizungumza na waandishi wa habari.

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo leo imetangaza kumfungia Snura kujihusisha na masuala ya sanaa.

Pia imeufungia wimbo wake Chura pamoja na video yake kutochezwa kwenye redio na TV nchini.

Taarifa hiyo imetolewa na wizara hiyo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika kwenye ukumbi wake wa mikutano wizarani hapo jijini Dar.

Akiongea na waandishi wa habari, Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano wa wizara hiyo, Zawadi Msalla, amewaonya watu kutousambaza wimbo huo kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo WhatsApp.

Amedai kuwa wale watakaokiuka agizo hilo watashtakiwa kwa kutumia sheria ya makosa ya mtandao.
 
Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
26,837
Likes
14,282
Points
280

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
26,837 14,282 280
Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo leo imetangaza kumfungia Snura kujihusisha na masuala ya sanaa.

Pia imeufungia wimbo wake Chura pamoja na video yake kutochezwa kwenye redio na TV nchini.

Taarifa hiyo imetolewa na wizara hiyo kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika kwenye ukumbi wake wa mikutano wizarani hapo jijini Dar.

Akiongea na waandishi wa habari, Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano wa wizara hiyo, Zawadi Msalla, amewaonya watu kutousambaza wimbo huo kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo WhatsApp.

Amedai kuwa wale watakaokiuka agizo hilo watashtakiwa kwa kutumia sheria ya makosa ya mtandao.
HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
pauli jm

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2016
Messages
394
Likes
241
Points
60

pauli jm

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2016
394 241 60
Japokuwa sijaona waziri mzigo Kama nape kwa hili naunga mkono ni aibu na uzalilishaji Sana.
Tuna tofautiana sana kifikra kumfungia msani kufanya sanaa mojakwamoja mimi siungi mkono walau ange tozwa faini.

Afanye nini tena huyu muziki ndio ajira yake.
 
Forum statistics

Threads 1,189,736
Members 450,798
Posts 27,645,707