Msanii Sister Fey awekwa chini ya Ulinzi wa Polisi kwa Matumizi mabaya ya mitandao ya Kijamii

Wanaolalamika vya maana hawashughulikiwi wizi za movie zao ( ingawa hazina ubora) hawa waliokataa tamaa ya maisha wakilalamikiwa vimbelembele vimewajaa yaani huyo shoza ni bure kabisa
Ur right.
 
Soma kipengele A na B hapo uone kama hajavunja sheria.Hiyo ni EPOCA 2018 ipo kwenye website ya TCRA kasome usije laumu ukinaswa
Screenshot_20180921-192705.jpeg
 
Hivi huyu dada ni msanii wa nini? Mi nadhani apelekwe hospitali maana naona kama kaweuka, na ka kijana kake amemwachia nani? Na ukute kakijana kana baba na mama!!!
 
Wekeni basi hizo picha zilizosababisha malalamiko,hiyo picha na ben10 wake kwani inashida gani?
 
Sipendi jinsi sista fey anavyofanya upuuzi wake insta pia naye huyo shonza angemkamata kimya kimya na si kutueleza vitu minor kama hivyo.
 
Hahahahhaha
Watu mna vituko sana.
Ila kweli...sijui atapata wapi pesa ya maziwa na Cerelac
Kutoa ni moyo tutembeze bakuli nahisi ana hali mbaya mno...
Naanza na mimi nitachangia Tsh 5 vyuma vimenikwaza
 
Wamuache sister fey na kiben10 chake..
Halafu sister fey ntamtafuta nimpiku huyo ben10 mwenzangu..
 
Back
Top Bottom