Msanii Shilole yuko tofauti sana, haigizi maisha kama wasanii wengine wa kike

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,676
2,000
Huyu Dada kaanza kwenye bongo movie akagundua hailipi.,kapambana sana akaanza mziki na amefanikiwa sana.
Kikwazo chake kilikuwa nuh mziwanda,akapata washauri wazuri akaachana,nae.
Sasa hivi yuko na MTU sahihi kuna mabadiliko makubwa sana katika kila kitu no skendo mda mwingi anapambana na maisha.

Msingi wa hoja yangu ni huyu Dada Mara zote yuko open sana anaga maigizo kabisa.

Naomba mwenyezi Mungu ajue kuongea kingereza cz ndio ndoto yake kubwa.,kwa jinci anavyopambana naamini ataongea fluent English sio broken km Tundulisu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
drilling

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
2,015

NiNI HOJA YAKO HAPA JF NA HII MADA INATUSAIDIA NINI SISI JAMII

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
msondomba

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
1,323
2,000
Huyu Dada kaanza kwenye bongo movie akagundua hailipi.,kapambana sana akaanza mziki na amefanikiwa sana.
Kikwazo chake kilikuwa nuh mziwanda,akapata washauri wazuri akaachana,nae.
Sasa hivi yuko na MTU sahihi kuna mabadiliko makubwa sana katika kila kitu no skendo mda mwingi anapambana na maisha.

Msingi wa hoja yangu ni huyu Dada Mara zote yuko open sana anaga maigizo kabisa.

Naomba mwenyezi Mungu ajue kuongea kingereza cz ndio ndoto yake kubwa.,kwa jinci anavyopambana naamini ataongea fluent English sio broken km Tundulisu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemuona kwenye msiba wa Godzilla Salasala akiandaa msosi yeye na Mwasiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
34,424
2,000
Huyu Dada kaanza kwenye bongo movie akagundua hailipi.,kapambana sana akaanza mziki na amefanikiwa sana.
Kikwazo chake kilikuwa nuh mziwanda,akapata washauri wazuri akaachana,nae.
Sasa hivi yuko na MTU sahihi kuna mabadiliko makubwa sana katika kila kitu no skendo mda mwingi anapambana na maisha.

Msingi wa hoja yangu ni huyu Dada Mara zote yuko open sana anaga maigizo kabisa.

Naomba mwenyezi Mungu ajue kuongea kingereza cz ndio ndoto yake kubwa.,kwa jinci anavyopambana naamini ataongea fluent English sio broken km Tundulisu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mafanikio mengi yametokana na kampeni za CCM na kwasasa Mtonyo wa RUDI NYUMBANI kumenoga unamtoa!
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
29,270
2,000
Jifunze kuandika vizuri ndo uje umnange TL..hv kweli ww usojua matumizi hata ya "a"au "h" ndo uje umfananishe shishi na TL..?mie kilio changu daily humu jf humkuti mwanamke anaandika fa fa fa km wanaume..Ee Mungu bariki matumbo ya watoto wetu wa kiume!
mods naombeni siku 1 mnipe kazi ya umod jaman..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom