Msanii RAYUU apewa shavu la kucheza picha za ngono kwa dau nono South Africa.

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Katika kufukunyua fukunyua nikakutana na hii.

MSANII wa filamu na tamthilia bongo Rayuu, inadaiwa kuwa amepewa mchongo mkubwa wa pesa ndefu endapo atakubali kushiriki kwenye picha ya ngono huko Afrika Kusini ambayo inashirikisha nyota kibao wa ndani ya Afrika.

Inadaiwa kuwa msanii huyo ameonekana na watu hao baada picha zake kadhaa kuzagaa kwenye mtandao ndipo wapoliamua kumtumia ujumbe kwa njia ya mtandao, na kama atakubali basi atakula mshiko ambao hajawahi kuukamata tangu alipodhaliwa.

Chanzo kikubwa cha kuaminika kilichofanya upekuzi huo, kilibaini ukweli kwamba msanii huyo anachati na watu hao lakini hajawaweka wazi kama ataweza kufanya ishu hiyo ambayo itambidi asafiri.

Mpekuzi huyo alitumia muda wa saa kadhaa kukaa na msanii huyo na kumdadisi lakini hakupewa chochote na inadaiwa kuwa ishu hiyo ipo na watu wanamtaka kutokana na uzuri wake, pia wameona ni mtu ambaye hana aibu baada ya kuziona baadhi ya tattoo kwenye makalio yake.

“Inadaiwa kuwa jamaa walichokipenda kwanza ni msanii pia hana aibu kwani aliweza kuchora tatoo, lakini sijui kama msanii huyo amewajibu kwani habari nilizonazo tena nimeona kupitia macho yangu ni hizo, asa sijui ni watu wanamzingua au vipi,” alisema mpekuzi huyo.

Hata hivyo alipotafuwa Rayuu kuulizwa juu ya ishu hiyo alibaki kuchecheka na hakuna chochote alichozungumza zaidi ya kudai kuwa kuna watu wamemtumia mail ya kumtaka akacheze picha hizo kwa dau kubwa lakini hajawajibu kwani anahisi wanataka kumuharibia mipango yake ya maisha kwa madai hiyo kitu ambayo hawezi kufanya katika maisha yake.
rayuu1.jpg

rayuu_dartalk.jpg
 
Ndibalema, wewe unamshauri vipi?Akubali ama asikubali?Na pia sababu za either or kama ukiweza...

Hilo litasaidia mjadala kwenda vyema zaidi.
 
Kuna mtu kaweka thread ya porn stars waliofariki. Mostly ni kwa suicide, drug overdose na hiv. Wala asiwaze hiyo.

Ila hao jamaa wanaojidai wako SA wako hapa mjini na ni wanafunzi wa IT ifm. Wanatumia watu mails hivyo then wanaphotosho picha za uchi na kuanza blackmail. Angeripoti polisi na kuweka public.
 
Kuna mtu kaweka thread ya porn stars waliofariki. Mostly ni kwa suicide, drug overdose na hiv. Wala asiwaze hiyo.

Ila hao jamaa wanaojidai wako SA wako hapa mjini na ni wanafunzi wa IT ifm. Wanatumia watu mails hivyo then wanaphotosho picha za uchi na kuanza blackmail. Angeripoti polisi na kuweka public.

Vere vere truu...wanakilia pesa kiulaini. Wanawauzia watu wa magazeti,kesho unajikuta kwenye gazeti na headline nzito.....asijidanganye kwakweli. Atakufa kwa stress za kijinga!
 
hivi picha za ngono wanafanya kweli au wanaigiza.?????
 
hivi picha za ngono wanafanya kweli au wanaigiza.?????

Hawafanyi kweli wanaigiza lakini kwenye maigizo si lazima ufanye perfomance kwa vitendo basi lazima ungonoke katika harakati za kutengeneza porno
 
Back
Top Bottom