Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Bado mapema MKUU ,,ngoja ipite mwaka mmoja KAMILI,, kama HAJAREJEA MADAWA tuseme ALHAMDULILAH , ,hiyo ni ALBADILI YA KIHINDI kuacha ni NGUMU SN

Sent using Jamii Forums mobile app
yap ni ngumu sana ila walao amerudi kwenye form ,haongei tena mapumba,mara ntarecord na 2 pac e.t.c,sasa hivi hata wewe unaweza kaa naye mkajadili masuala ya kifamilia ,tayari ana mchumba pia
1550634016730.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom