barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Msanii wa Muziki wa Mombasa Nchini Kenya,maarufu kama Nyota Ndogo,ameamua kuachana na maisha ya upweke na kuamua kufunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu
Kitendo cha Nyota Ndogo kuamua kufunga pingu za maisha,kumezua maneno mengi miongoni mwa vijaana wa Kikenya wakiamini kuwa msanii huyo ameenda kuolewa na mwanaume aliyemzidi umri sbb ni mzungu,hali hiyo ilizua mtafaruku kati ya mashabiki wa Nyota Ndogo na wale wasiompenda
Wakati huo huo wengi wamekosoa aina ya "make-up" aliyoiweka wakati wa harusi yake.Kwetu Bongo Nyota Ndogo ni maarufu kwa wimbo wake wa "Kuna Watu na Viatu"