Msanii nisie muelewa

abunerimgaya

Member
Nov 13, 2012
78
15
menzenu Timbolo simuelewagi kabisaa
hata nyimbo yake ikipigwa club huwa natoka nje

wenzangu msanii gani hamumuelewagi?
 
Pasha mi haniingii akilini kabisa.
Hata mimi huyu dogo simuelewi pamoja na baba levo mwili mkuuuuubwaa akili hana hata kidogo...Ben pol anajua kuimba ila simpendi kwa sababu demu wangu anampenda sana huyu dogo mpaka sio vizuri yani!!
 
Angalia usije ukachukuliwa mupendhi.
 
Hata mimi huyu dogo simuelewi pamoja na baba levo mwili mkuuuuubwaa akili hana hata kidogo...Ben pol anajua kuimba ila simpendi kwa sababu demu wangu anampenda sana huyu dogo mpaka sio vizuri yani!!

Dah haya bana.
 
Jombaa unalo
 
huyu anejiita ney hiv hamuogopi hata mungu anawakashifu viongozi waliochaguliwa na mungu hasa huyu G.Wakatale.
 
Temba

Madee

Hawa bora wangefanya kazi nyngne ila si kuimba sijawah kuwaelewa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom