Msanii Naseeb Abdul (Diamond) aswekwa mahabusu kwa kupiga mwandishi wa habari

huyo mwandishi nae mchovu kweli anapigwa na haka kakijiti haka....
 
DSCF5975.JPG
DSCF5980.JPG


Msanii Naseeb Abdul a.k.a Diamond akiwa chini ya ulinzi wa mashabiki uwanja wa Samora Iringa baada ya kushindwa kufanya show katika uwanja huo. Msanii huyo na wenzake wamekamatwa na polisi Iringa baada ya kumpiga na kuharibu vifaa vya kazi vya mmiliki wa mtandao wa Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima kama njia ya kupinga kuhojiwa na vyombo vya habari.

Msanii Diamond ameruhusiwa kudhaminiwa leo majira ya saa 6 mchana na kuondoka kuelekea jijini Dar es Salaam kufanya uzinduzi wa Albamu yake,msanii huyo aliwekwa mahabusu ya kituo cha polisi mjini Iringa kwa tuhuma za kumpiga na kuharibu vitendea kazi vya mmiliki wa mtandao huu wawww.francisgodwin.blogspot.com uwanja wa Samora mjini Iringa

Ningekua Mimi nisingekubali ht kdg
 
Back
Top Bottom