GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,548
- 108,861
Kila mara nilikuwa namwona mbele huku akipewa Kipaumbele cha Kutukuka kabisa. Nitashukuru sana nikieleimishwa kuhusu Umuhimu wake mkubwa katika tukio zima.
Nawasilisha.
Nawasilisha.
Baada ya kuvunjiwa cd yake na ruge na kuambiwa hajui kuimba....alijiongeza and the rest ikabaki historia
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda alikuwa baba mlezi au baba la baba au mkwe au vyote kwa pamojaKila mara nilikuwa namwona mbele huku akipewa Kipaumbele cha Kutukuka kabisa. Nitashukuru sana nikieleimishwa kuhusu Umuhimu wake mkubwa katika tukio zima.
Nawasilisha.
Huyo kigogo ni sabosabo eenh espy na Sakayo ebu mkujeWadau wa Twitter wanasema hivi...Ya kuambiwa changanya na yakoView attachment 1039170View attachment 1039171View attachment 1039172View attachment 1039173View attachment 1039174
Tafuta maendeleo binafsi bila kujadili watu, tayari robo mwaka imekatika usipoangalia utashtukia December na hujafanya la maanaAlikuwa bega kwa bega Na Mrs Prof Mutahaba Kule South Africa, India, Kairuki, JKCI kumuuguza 'Boss' Ruge
Ngoja wadau waje kutuambia alikuwa mbele Kama Mdau Au Kama Mtu maalum
Tafuta maendeleo binafsi bila kujadili watu, tayari robo mwaka imekatika usipoangalia utashtukia December na hujafanya la maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo mimi Mkuu huyoo!niliipenda tu hii Avatar nikaichukua kwa kigogo!
wanafanania Kigogo