Msanii Nandy alikuwa ni nani kwa Entertainment and Creative Industry ' Genius ' aliyeondoka duniani?

Mji Mpana Huu
 

Attachments

  • IMG_20190306_175133.png
    IMG_20190306_175133.png
    267.8 KB · Views: 42
Ray c sijamuona kabisa msibani ilitakiwa awe kwenye ule mstari wa wajane masikini sijui yukwapi
 
Jamaa kawafaidi sana

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukiwa na Hela na Maarufu tu nchini Tanzania utazichoka ' Mbunye ' Mkuu kwani zingine zitakuwa zinakuja zenyewe kama vile Mbwa ambavyo huwa anajipeleka mwenyewe kwa Chatu huko anamkatia hadi Kiuno na akifika anakaa tayari kwa Kuviringishwa nae, Kuvunjwa Mbavu na Kuanza Kumezwa taratibu.
 
Jamaa kawafaidi sana

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alikua anajua kuchagua,sijui kilimkuta nn kwa huyu mama watoto wake,naona alitaka kupima oil tu lkn akanasa,kigoma si kwa mchezo mchezo,kuna mhenga aliniambia nikitaka kuchepuka nisichepuke na demu wa kigoma hata akiwa mbaya vp,kuna babu zetu walihonga nyumba k'koo kwa wakigoma,toka hapo nikitaka kuchepuka naangalia kaskazini mwa Tz huko
 
Jamaa alikua anajua kuchagua,sijui kilimkuta nn kwa huyu mama watoto wake,naona alitaka kupima oil tu lkn akanasa,kigoma si kwa mchezo mchezo,kuna mhenga aliniambia nikitaka kuchepuka nisichepuke na demu wa kigoma hata akiwa mbaya vp,kuna babu zetu walihonga nyumba k'koo kwa wakigoma,toka hapo nikitaka kuchepuka naangalia kaskazini mwa Tz huko

Bora Wewe uliambiwa hivyo Mimi nakumbuka niliwahi Kuambiwa kuwa kama nikikutana na Mwanamke kutoka Kigoma na nia yangu ni ' Kubanduana ' nae tu ' Kisela ' na ' Kusepa ' basi ni heri nimwambie hivyo mapema ili nae ajue na ajiandae Kisaikolojia ila kama najua kabisa Moyoni mwangu kuwa sina nia ya Kuja Kumuoa na Kuishi nae baso nisimdanganye kwamba nitamuoa au namuoa kwani nisipofanya hivyo hata kama nipo Kinondoni Dar es Salaam basi kuna mawili ama Mvua kubwa inayoambatana na Radi inyeshe tu Chumbani Kwangu lakini kwingineko Jua Kali linaendelea Kupiga / Kuchoma na iniue hapo hapo au niwe nimekaa Sebuleni Kwangu natizama Super Brand ITV Habari kisha nampokea Mgeni Mamba ambaya hata alipotokea sipajui na akanitafuna Mimi tu pekee ila ' Remote Control ' ya Tv na ' Decoder ' ya StarTimes akaviacha kama vile na hatimaye Jina langu likabadilika rasmi na Kuanza Kuitwa Marehemu fulani.

Mkuu cheza na Wanawake wote wa nchini Tanzania ila siyo Waha wa Kigoma kwani hao huwa ' hawatanii ' na wakisema wanakuroga / wanakutengeneza jua wanamaanisha na cha Moto utakiona. Ndiyo maana Mimi hadi hivi leo nikimtongoza tu Mwanamke yoyote Kipaumbele changu cha Kutukuka huwa nitamuuliza Mwenzangu ni Mwenyeji wa Mkoa gani hapa Tanzania akisema tu ni wa Kigoma hamu yote ya Kuendelea Kumtongoza huishia pale pale na sana sana nitaanza tu Kumuulizia huko Kigoma kuna ' Fursa ' gani za Kilimo na Maendeleo ila si tena mambo ya ' Mtombinyo ' kama nia yangu ya awali Kwake.

Shikamooni sana na mno Wanawake wote wa kutoka Mkoani Kigoma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom