Msanii mwingine wa bongo movie (KASHI) afariki dunia!

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
kash.jpg



Hili ni pigo lingine kwa wasanii wetu hapa nchini.
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema Kash (Jaji Khadija) amefariki dunia katika hopsital ya muhimbili ambapo alikua amelazwa. Kash amewahi kutamba sana katika Michezo ya kuigiza kipindi cha nyuma kidogo iliyokua ikirushwa ITV, hadi mauti yana mkuta amekua akijuhusisha na shughuli za kuigiza. Moja ya Igizo alilowahi kucheza ni Tamu Chungu.
#MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AM



chanzo:
 
Pole kwa wafiwa ingawaje ndio kwa mara ya kwanza nalisikia hili jina na kumuona muhusika mwenyewe
 
Back
Top Bottom