Msanii Mack T amerudi kwa kishindo

mpenda pombe

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
1,382
676
Leo nimebahatika sikiliza wimbo mpya wa msanii mkongwe Mike T Clouds FM, unaitwa umenikutaga, hakika jamaa karudi vizuri Sana na wimbo wake utasumbua Sana.

Nikiwa Kama shabiki wazamani wa nguli huyu, nampongeza kwa kazi Hii nzuri na Classic chini ya upishi wa Maco Chali.
 
Mkuu Mike T wa sasa sio yule wa zamani hiyo ngoma haitomfikisha popote kwani ipo kawaida sana.Hebu tujikumbushe hizi hit songs za mnyalu miaka ile;
1.Nampenda ft. Nature
2.Nyaluland ft.Jide
3.Nibeep
4.Kama
5.Sintobadilika ft Q Chillah
6.Sintobadilika remix ft. Dully Sykes
 
Nakubaliana nawe, ila kwa ngoma Hii ni jiwe kwa wakati huu.. Tukiupa muda huu wimbo naamini unafika mbali.
 
Mkuu Mike T wa sasa sio yule wa zamani hiyo ngoma haitomfikisha popote kwani ipo kawaida sana.Hebu tujikumbushe hizi hit songs za mnyalu miaka ile;
1.Nampenda ft. Nature
2.Nyaluland ft.Jide
3.Nibeep
4.Kama
5.Sintobadilika ft Q Chillah
6.Sintobadilika remix ft. Dully Sykes
Umesahau Je Utanipenda, idea iliyorudiwa na Diamond
 
Leo nimebahatika sikiliza wimbo mpya wa msanii mkongwe Mack T Clouds FM, unaitwa umenikutaga, hakika jamaa karudi vizuri Sana na wimbo wake utasumbua Sana.

Nikiwa Kama shabiki wazamani wa nguli huyu, nampongeza kwa kazi Hii nzuri na Classic chini ya upishi wa Maco Chali.

Mike Tee feat Chege Chigunda_Umekutaga
Hapakuwahi kuwa na msanii maarufu wa muziki kwa jina la Mack T hapa Tanzania
 
Mkuu Mike T wa sasa sio yule wa zamani hiyo ngoma haitomfikisha popote kwani ipo kawaida sana.Hebu tujikumbushe hizi hit songs za mnyalu miaka ile;
1.Nampenda ft. Nature
2.Nyaluland ft.Jide
3.Nibeep
4.Kama
5.Sintobadilika ft Q Chillah
6.Sintobadilika remix ft. Dully Sykes
Hiyo namba 4 kama unayo pls iweke hapa....Ni bonge moja la Ngoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom