Msanii Lulu ajishushia hadhi kwa kuendekeza pombe!

Status
Not open for further replies.
Hichi kitoto kinajirusha ile mbaya hasa na mibaba ya haja....


attachment.php
 

Attachments

  • LULU.jpg
    LULU.jpg
    67.3 KB · Views: 958
binti hajazaa ana kitambi je akipigwa mimba itakuwa balaa! la msingi ni jinsi ya kuifuta aibu yake jamani SUN Ciro
ni sehemu ambapo utakuta vibinti vidogoo yaani vichuchu vyaonyesha kabisa kuwa vya kulazimisha kwa nyie wanaume wanaopenda nido pale inabidi usaule kwa kweli lile neno la sanaa opposite na sun ciro ni ovyoooooo usiku ni kama kawa tutoto tudogo kwakweli ila kama serikali ipo basi na wazazi nao sijui njaa maana nao wengine wanaachia mambo hadharani!!

mfano huyu binti tasnia yake yote ni aibu sasa hana maana tena ni kuchekwa tu na keshajichojoa heshima yake yote!! mie angekuwa mdogo wangu naona ningemfungi jella ya nyumbani hat mwaka mzima!! wasokile wanasema isonii!!

Mabinti kama hawa hawajui thamni yao na wakware ndo wanafurahia jamii iwasaidie maana utakuta wazazi wengine hawajaui labda ustawi wa jamii waingilie maana nafikiri ni jukumu lao pia kuelimisha maswala ya kijamii
 
Hivi kwajinsi alivyolewa nini kilifuata hapo baadae kitandani jamani huyu mtoto?
 
Hivi atatusaidia nini huyo............kwanza vyombo vya habari vinavyomwandika ndio anaona umaarufu,,,so wadogo zetu wa kike wakiona hivyo nao wataiga................kesha fanya kila uchafu huyo hawezi badilika............ana wazazi au ni mtoto wa mitaani..............tumtafute mzazi wake tumuhoji labda ndio anaemtuma mtoto akiweka mboga mezani anakuwa ndie baba anafanya anachotaka......tutaumiza vichwa bure kumbe yupo kazini analisha familia...................kila mtu anamaamuzi yake wazazi wake wamemchagulia /au yeye kajichagulia............wangapi masupa star wadogo kuliko yeye na mvuto kuliko yeye hawapo hivyo.....................
 
Nilikuwa namkubali sana tena sana alipokuwa mdogo, nikawaambia hata ma best wangu kuwa huyu mtoto akikua atakuwa Lulu the great kwa upande wa ma actress kumbe sikujua umaarufu umemuingia kichwani. Mdogo wangu napenda ubadilike huko unakoelekea siyo kwenyewe kabisa kuwa hungry na mafanikio siyo kuwa mgeni wa mambo hayo mbona yapo tuu
 
Haya! Picha ile kuna mtu kasema kuwa alikuwa ana act kwenye movie, na hapo juu je??? Binti ameishakuwa sikio la kufa huyu...
 
Haya! Picha ile kuna mtu kasema kuwa alikuwa ana act kwenye movie, na hapo juu je??? Binti ameishakuwa sikio la kufa huyu...

Jamani mwacheni maana hamjui maisha yake nyumbani yako vipi, uwezo wa wazazi n.k.
Maisha yake lakini kila siku Shingongo anatafuta picha zake, sijui nae aliwahi kumtongoza akamkataa
 
nimesikitishwa sana leo na kipindi cha leo tena wanatetea kwamba hizo picha za huyo kikuku ni photoshop... sijui wanalipwa laki ngapi kusafisha nyota ya huyo kicheche
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom