Msanii Linex anayedaiwa deni Kibona Hotel awatukana Watangazaji wa SHILAWADU tusi hili....

Mkuu kutuita ' Wasenge ' tena ' mubashara ' vile ni ' Tusi ' dogo? au Wewe labda ndiyo Linex mwenyewe? Sasa jua kwamba umekanyaga ' waya ' kwani hata ' Taita ' Mkuu wa ' Magogoni ' aliangalia na mpaka sasa anaangalia tena huku akiwa ameweka kabisa ' Headphones ' zake hivyo hata hilo ' Tusi ' lako kalisikia ' kunakotukuka '. TCRA mkiacha kumchukulia hatua ' Kali ' za ' Kinidhamu ' mtakuwa ' mmebariki ' hata Mheshimiwa ' Taita ' wetu Mkuu wa ' Magogoni ' nae ' Kutukanwa ' hivyo.

Yaani kama namuona vile Baba Jesca ( Taita wa Magogoni ) na hilo ' Tusi ' la ' Msanii ' Linex ' kwa jinsi alivyolipokea.
Taita wa magogoni unamtukuza kama mungu kumbe acha atukamwe
 
Kipindi cha kimbea sana kile.....ukute kweli hao watangazaji ni was3nge.

Sent from my LG-F600K using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Kama hayo ndio waliyomhoji basi hiyo tabia aliyo ihoji Linex kwa shilawadu imesadifu!kumbuka hajawaita wangese bali amehoji kama hawa ni wangese? kutokana na matendo yao!
Niko pamoja na Linex kwa hili na nyie endeleeni kuwasapoti wangese na tabia zao za kingese ngese kupekua maisha ya watu kulikopitiliza pengine nanyi mmesadifu hoja ya Linex!

Sent from my SM-G900F using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Tangia uliponifumania ' nampakuwa ' kama App ' Mazeri ' wako tena 0713 umekuwa ukinichukia sana Mkuu. Siyo Kosa langu bali ' Bibie ' anapenda sana ' nikimtambalizia ' Mkuyenge wangu huko na Mimi bila ' hiyana ' huwa nampelekea wote hadi breki za P.
Hujisikii raha bila kutukania wenzio mama zao! Hii inashangaza sana na inaumiza mnoo,kwanini msitukanane wenyewe tu badala ya kumtaja mtu ambae hata kupita hapa jf hapiti,jirekebishe
 
Wakuu nimeangusha jero humu ataeiokota mnirudishie wakuu
Mnajua tena hali yasasa MLENDA SIO MBOGA NI LIFTI TU YA TONGE
 
Mkuu kutuita ' Wasenge ' tena ' mubashara ' vile ni ' Tusi ' dogo? au Wewe labda ndiyo Linex mwenyewe? Sasa jua kwamba umekanyaga ' waya ' kwani hata ' Taita ' Mkuu wa ' Magogoni ' aliangalia na mpaka sasa anaangalia tena huku akiwa ameweka kabisa ' Headphones ' zake hivyo hata hilo ' Tusi ' lako kalisikia ' kunakotukuka '. TCRA mkiacha kumchukulia hatua ' Kali ' za ' Kinidhamu ' mtakuwa ' mmebariki ' hata Mheshimiwa ' Taita ' wetu Mkuu wa ' Magogoni ' nae ' Kutukanwa ' hivyo.

Yaani kama namuona vile Baba Jesca ( Taita wa Magogoni ) na hilo ' Tusi ' la ' Msanii ' Linex ' kwa jinsi alivyolipokea.
yani kitendo kile cha kupekenyua na kuziadaa boxer zangu ni zaidi ya kutukana kumamayo,wao kutukanwa wasenge tu haitoshi,kama ningekuwa mimi ndio linex wangepewa matusi yale yote mapya ya awamu ya tano ya mh magu na yeye ayasikie akiwa na earphone masikioni.

lazima tulipe kodi
 
Ata na nyie mnaleta useeee snaa kwa hao shilawadu wanashindwa kukata hlo neno la msanii linex au mmefanya fashion kuweka hewani....ata na nyie mnao saport kaka linex achukuliwe atua ni wasenge hvyo hvyo coz amjielew lakin kina lly wyne,50 cent wakitukanana kwenye vituo vyao huwA tunajiskia vizuli na linex kafanya vema kuwatukana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sikuwahi kujua kuwa "rouge" ndiye mungu mtu mgawa riziki. Asante kwa kunijulisha.
Ruge co mgawa rizk kwa binadam
Wa kawaida mkuu n kwa wasanii tu

Katka wasanii wote waliotifuana na
Clouds na wakaendelea kutesa
Kama kawa bila kushuka kwa


Mzik wao n mwanadada jde comandoo
Pekeake,lakin hebu angalia hao wengne
Kinachowapata wanajua wenywe
Huko waliko

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
3d5b01a32a443f53372048bf90a8a5f9.jpg
 
Samahani naomba unitajie hao wengine waliotibuana na huyo jamaa
Ruge co mgawa rizk kwa binadam
Wa kawaida mkuu n kwa wasanii tu

Katka wasanii wote waliotifuana na
Clouds na wakaendelea kutesa
Kama kawa bila kushuka kwa


Mzik wao n mwanadada jde comandoo
Pekeake,lakin hebu angalia hao wengne
Kinachowapata wanajua wenywe
Huko waliko

Triple A
Sam
 
".... bali pia inapendwa sana na Mheshimiwa Rais wetu wa JMT Dkt. Magufuli?"

Mkuu wewe si ulisema Rais wako ni Paul Kagame?? leo vipi unamtaja JPM kama rais wako ?inamaanisha wewe ni mkimbizi au ndio mambo ya ID fake zinaficha mengi yaliyotukuka...



BACK TO THE TOPIC: Linex alichofanya sio poa aisee
 
Muda mfupi tu uliopita ' Msanii ' wa Bongo Fleva Linex wakati akiwa ' anahojiwa ' katika Simu na Watangazaji wa Kipindi ' maarufu ' cha SHILAWADU juu ya ' deni ' kubwa la Tsh 943,000/ analodaiwa na Kibona Hotel na ambalo pamoja na ' ubrazameni ' wake wote ameshindwa ' kulilipa ' alipobanwa na swali alijikuta ' akihamaki / akikasirika ' na kuwatukana ashakum si matusi alianza na bonge la ' msonyo ' wa ' kutukuka ' na akamalizia kwa kuwaambia namnukuu..." nyie Wasenge nini ".

Hivi Wewe Linex hujui kuwa hiyo ' show ' ya SHILAWADU si tu inatizamwa bali pia inapendwa sana na Mheshimiwa Rais wetu wa JMT Dkt. Magufuli? Hivi hujui kuwa ' kuwatukana ' Watangazaji wa SHILAWADU kuwa ni ' Wasenge ' basi ' automatically umeshatutukana hadi na sisi ' Watazamaji '



Mkuu Umemkamia Sana Jambazi Kuu
La Magogoni.
Afadhali Mkwere Alikuwa Soft Copy
Ila Huyu Jambazi Kuu La Sasa Kutoka Chato Ni Hard Copy.
Alimezaje Hilo Tusi
 
Back
Top Bottom