Msanii Jux nyimbo zake nyingi hujiimbia mwenyewe!

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Huyu jamaa ni mtunzi mzuri, nasikiliza nyimbo zake ila nimekuja kumgundua nyimbo zake zote kuna vitu vilipita kwake.

Mfano ile nyimbo ya yule mtu wake kufungwa jela. Baada ya kumpata vanessa nyimbo za kumsifu mpaka basi. Walivoachana tu nyimbo kibao za shit kuna kipindi sijui alikuwa na demu wa Asia,Vbasi naye alimtungia wimbo.Sijui waliishia wapi?

Baada ya habari mwanadada Vannesa kupata ujauzito naona hili swala limemchoma sana. Kilichobaki subiri tusikie zile nyimbo za roho inauma kama kawaida yake.
 
Kiswahili kimekua ama ni nini?

Nyimbo = zaidi ya moja

Wimbo = mmoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom