Msanii Jackline wolper amekwenda kujitolea mahari tena?Safari hii akikwama atajioa?

Huyu dada kuna mtu alisema yuko Facebook anaomba hela kila mtu anasema na kugawa No zake za simu..labda iwe uongo ila watu kama kumi wanasema amewaomba hela siku ya kwanza tu kuchat nao kwa simu...
 
Huyo si yeye ni mtu anatumia jina lake kuwatapeli wapumbavu.....
 
Hawa mastaa wakienda kwao huwa hawapigi picha na wazazi wao wala sehem aliyofikia ukiacha hotel nasibir picha zake akiwa na wazazi wake na nyumba yao huko kama anavyoonyesha mjini tuone kama wazazi nao wanakumbukwa hata kichumba kimoja
 
hahahahahaha
 
Back
Top Bottom