TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

6 IN D Ma
My favourite Track ni 6 In Da Morning huwa haikosi kwenye Majani Playlist zangu.

Rest Easy CP! Japo hajawahi kuelezea kirefu cha CP but i think he meant Computer Programmer!

6 IN D Ma
My favourite Track ni 6 In Da Morning huwa haikosi kwenye Majani Playlist zangu.

Rest Easy CP! Japo hajawahi kuelezea kirefu cha CP but i think he meant Computer Programmer!
"Hakuna siku naamka bila hangover,na asubuhi nashushia na kiroba,Ni CP mtoto wa kipekee,maskani kwangu ni bar.
Rest in peace
 
bila kuchua tahadhari na kuacha midhahaa COVID19 itatumaliza, RIP CPWAA,
Na habar ni kwamba alilazwa siku 3 hapo Muhimbilia akisumbukiwa na nimonia.
Rest in eternal peace Parklane's former member
nakumbuka sana nyimbo ya Aisha Aisha.
 
Duh, Pumziko La Amani Apate Mwamba.

Nakumbuka ni Wasanii wa muda tu, kuna ngoma yake moja kuna mstari unasema "ndani ya daladala naachia kitu like....."
"Simamisha kwanza pwaa,kwani tunasikia njaa,waiter lete ndizi.makange ,...
Tumbo liko fully yani liko pwaaa
 
Cpwaa ni nani?, jina lake kamili, anaishi wapi, ni mkongo au mbantu, amefia WAP, kwa ugonjwa gan, taarifa umezipata wapi n.k
Tz wavivu sana wakusoma maswali yako yote yamejibiwa kwenye heading na internal thread some time ficha ujinga wako.
 
Back
Top Bottom