TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Ni msanii wa bongo fleva.. kitambo flani walikuwa na kundi lao linaitwa Park leen ( sina hakika kama nime spell well)

Miongoni mwa nyimbo alizopata kuimba ni kama:
1. Nafasi nyingi
2. C Pwaa
3. Action

Alipata kuwa na sauti matata sana..

RIP Cpwaa
 
Kuwa muhandisi sio lazima usome chuo cha uhandishi.. kuna series za cource ukimaliza izo unakuwa engineer.. kama walio enda huko vyuoni.. na hata ada ya hizo kozi huwa ni parefu sana.. yasikuchanganye hayo mavyuo na majina.. usihisi nagubu au na wivu na ma engineer by Pro mie ni Engineer pia ni mbobezi mifumo ya usalama wa mitandao.. na kuna mahala natambulika kama Security Engineer .. ninacho kueleza nakijua. Architecture wana bodi zao ambazo zipo very powerful kiasi kwamba hawana haja ya kuja kubanana humo ERB
Sasa wewe unaitwaje Engineer wakati ERB hawakutambuwi? Tafsiri yake wewe ni fundi tu wa mtaani maana ERB hawasajili watu wasio na vigezo
 
Back
Top Bottom