TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Grahams

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
2,276
2,000
Rest in Peace CPWAA

Ma legendary mlionza kufanya mziki kama hobby kabla ya kuanza kufanyika kibiashara zaidi.

Mdogo wenu Diamond ndiyo ananufaika na Music nyakati hizi baada ya nyie kuwa mmejenga misingi baada ya kufanya transformation kutoka Music wa Hobby na burudani kuufanya Music kazi na biashara.

Ngoma yako ya Action ft Ms Trinity X Ngwea X Dully itaendelea kuwa nyimbo bora zaidi umewahi kuifanya.
 

Mitha

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
584
1,000
Nimeshazoea ya CP feat Dully sykes , dah asee hii nyimbo ukiachwa alafu uisikilize unaweza kulia upya . Humu CP alijua kunibariki na mistari yake matata mnooo. Siku moja nikamsikia kwa Salama anasema hata wao mastaa wanaumizwa na mapenzi vile vile . Cp siku moja alienda kwa J . Kikwete alipelekewa proposal flani hv Dodoma akiwa Raisi akawaambia watu 'msione kama wanaimba miziki ya kihuni tu, hawa vijana ni wasomi wazuri sana -
Nimeshazoea ft Dully sykes
Nafasi nyingine akiwa park lane
Aisha Aisha akiwa parklane
Party ya kiutu uzima ft Bongo record
Action ft Obama , ms Trinity & Dully sykes

R I P Ilunga , umeenda mapema sana brother
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom