Msanii Harmonize: Wasanii wanaitaji Tuzo ili kuleta heshima kwenye "Music wa Tanzania"

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Akiwa mmeposti kwenye ukurasa Wake Wa Instagram kasema " Trust Me kutokuwepo kwa Tuzo kwenye Muziki Inapunguza Thamani ya Muziki Tanzania Maana sasa hivi tumebaki kushindania YouTube tu ngoma yako isipofikisha Million 1 (views) ndani ya siku mbili basi hiyo ngoma sio bora"

"Kushindania views YouTube ( kutokana na kutokuwepo na Tuzo Tanzania inapeleka hata Wasanii kutumia Nguvu kubwa katika promotion kulipia sponsered ili kupata viewers Wengi, hii inatulemaza Ubongo na inaenda kuathiri Vizazi na Vizazi Tunaitaji Tuzo" aliongeza
 
Konde acha kulalama!Youtube na platform mbalimbali kwa sasa ndio main key ya kushinda hizo tuzo anazozitaka!hivyo huwezi kudharau Youtube abadani! Wewe pambana na wanaume wenzio huko youtube acha kulialiangoma imekuwa ngumu sana kwako sikuhizi huko youtube hadi zuchu amekushinda!!
 
Tuzo zenye zikiandaliwa wanalalamika watu wanabebwa pia inakatisha tamaa, na ndiyo maana stakeholders wamekimbia kudhamini hilo
 
anataka kutuaminisha tuzo za ndani ndo zitaongeza kipato cha msanii? tuzo za ndani ndo zitampeleka international? huku ni kufail kuwaza kabisa, watu wametengeneza platform ajili ya kukuza vipato vya wasanii na kuikuza sanaa iwe world wide bt yeye analia lia tu, kwa hali hii tuzo za nje na kwenda international atabaki kuvisikia kwa bomba. PUMBAVU HARMO NA WANAOSAPOTI MASHUDU HAYA.
 
Baada ya ku kuonyesha yupo mrengo fulani kisiasa mziki wake umeshuka thamani sana na huko ndo mwanzo wa kufel wanamziki wachanga hata wakubwa hawajiingiz huko maana wasipopata cheo huko ndio mwisho wao kimuziki
 
AKILI MGANDO HII WATU WANAWAZA TUZO ZA KIMATAIFA YEYE ANAWAZA TUZO ZA UBABAISHAJI ZA TANZANIA?
KWA HAPA TZ BADO HATUJAWA NA MFUMO MZURI WA KUWEZA KUTOA TUZO BILA KUWEPO NA LAWAMA
kwanini tuzo za kitanzania zioneoane hivyo za kibabaishaji, kwanini wezetu wanaijeriq hata huko america wanagimbea tuzo zao wenyewe sisi huku ndio kupapatika na tuzo za nchi za watu
 
Konde acha kulalama!Youtube na platform mbalimbali kwa sasa ndio main key ya kushinda hizo tuzo anazozitaka!hivyo huwezi kudharau Youtube abadani! Wewe pambana na wanaume wenzio huko youtube acha kulialiangoma imekuwa ngumu sana kwako sikuhizi huko youtube hadi zuchu amekushinda!!
hajadharau youtube, tena yupo top ten ya wasanii wa kibongo wanaofuatiliwa sana huko youtube
 
Back
Top Bottom