Msanii gani wa Hip Hop unatamani kumuona kwenye albamu ya Kendrick Lamar?

Jr Xavi Hernandez

Senior Member
Feb 25, 2022
182
259
Kendrick Lamar yupo wapi? Lilikuwa swali la muda mrefu kwa wapenda Hip Hop Duniani kote!

Wengine labda walichoshwa na rap hizi za kina Lil Pump, Tekashi69.

Baada ya kimya kirefu, Kendrick Lamar amenarejea Mwezi wa 5 tarehe 13 na Album mpya.

Bado hatujajua Tracklist kutoka kwenye Album hiyo.

Ni msanii gani wa Hip Hop unatamani kumuona kwenye Album hiyo ya Lamar?

Lamar Is Back.

Ends.
 
Eminem maana ile love game haikutosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom