Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
Nakumbuka kwangu enzi nipo Arusha miaka ya 2016 , Nlikuwa na kawaida ya kwenda club D maeneo ya Moshono.

Siku ya siku wakaja kina Mr Blue na Rommy Jons ambae alipewa u DJ.

Cha ajabu hatukuwa wengi sana, hatukufika hata 30,

Basi ikawa Mr Blue ananipa mic sana tu niwe nafuatiliza nyimbo zake maana nilikuwa nimezikariri nyingi.

Ilikuwa poa sana ile siku kwangu, Jamaa yupo peace hana makuu
 
Mie nakutana sana na mchekeshaji Mkwere ninajenga Kimara (nyumba ya kupangisha) jirani na kwake. Uwa tunapiga sana story . Prof. J pia mshikaji tunaongea nae, Afande Sele mwanangu mno na kuna msanii mmoja wa kike maarufu nilishapita nae kinyumba enzi zangu
 
Wasanii wengi Wana maisha Fulani wamezoeshwa ya kupewa Offa Offa
So kama mtu mbahili utajikuta unawakwepa sana kama unfahamiana nao..

Zamani
Nilikuwa nataka kuwa promota WA mziki na filam
Nikawa nna watu wananitafutia wasanii nijaribu kuongea nao dah..
Unaweza tumia hela Kwa kuongea nao tu

Msanii yoyote wa Tz ukisema Tu we ni promota mnataka kuongea biashara
Anakuja mwenyewe...

Labda hawa WCB these days ndo Wana utamaduni wa meneja na wachache wengine
 
Vp mkui kwa uzoefi wako unaweza kuhalalisja au kubatilisha ile kauli ya wasanoi kwamna mapromota wanawanyonya sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom