Msanii Dude kurudi na Bongo Dar es salaam kwa kishindo

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,439
12,294
Safari hii ni kupitia Wasafi TV

YES or NO?
IMG_20190221_202153.jpg
 
Kwa kizazi hiki cha smartphone aje na idea Kali kweli kweli atatoboa vizuri sana
 
Nadhani kipindi kinarushwa Jumanne saa 3 usiku. Kuna episodes zao zipo YouTube, naona mwanzo mzuri wanafanya vizuri.
 
Back
Top Bottom