Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,450
- 12,316
Safari hii ni kupitia Wasafi TV
YES or NO?
YES or NO?
hana jipya
Ndo basi tena hawezi kutembea na viatu vya miaka kumi nyuma alafu akang'aa.keshaachwa tayari.Mmh hope atafanikiwa.
King Kong 111Dude alitisha sana na BONGO DALISALAAMA,nilikuwa naifatilia sana TBC zamani.
Aminia LONDON BOY.
Yeah king himselfAminia LONDON BOY.
Hii ya juzi niliipenda, kwa mara ya kwanza namuona Dude naye katapeliwa
Hahaaaa, wanajitahidi kiukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app