Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Mlianza kuunga mkono na kusambaza Usho.ga na sasa mnahamia kwenye watumiaji madawa ya kulevya na kuharibu watoto wetu.
Pathetic!
#HAPANATunduLissu.
 
Hajampinga magufuli. Kamuelekeza makonda asibase na mambo ya wasanii na michezo afanye mambo yenye tija kama kuboresha magereza maana anaweza kwenda yeye na hata magufuli. Unasema hiyo sio point kweli
Ungeachana nae usikute hajaona na kusikia kile kile alichoongea zaid ya kucvhangia kwa hisia
 
Hivi uliyeweka uzi huu umejaribu kufikiri hata kwa sekunde??

Mtu kama huyu unamuona wa maana saana kisa tu kamtukana mtu fulani!! Mtakesha!! Leo lissu kapuni leo chidi benzi naye atafunikwa kama ya membe hawa ndio wapinzani!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uchochezi ni neno gani ambalo ni tusi kwenye maoni ya Chid? Kila mmoja anafikiria tofauti hatuwezi kufanana katika kufikiri, ila lazima tukubaliane uelekeo sahihi
 
Tumia akili kidogo basi....kwani chiddi kasema uongo?? Mwaknyembe ndo anahusika na wasanii sio makonda....awamu hii watu mnajitoa akili mpaka mnakera
Hivi uliyeweka uzi huu umejaribu kufikiri hata kwa sekunde??

Mtu kama huyu unamuona wa maana saana kisa tu kamtukana mtu fulani!! Mtakesha!! Leo lissu kapuni leo chidi benzi naye atafunikwa kama ya membe hawa ndio wapinzani!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walahi. ....sikujua kwamba huyu jamaa ana akili kiasi hichi asee... Chindi Benz Ni hatari sana..... Makonda Fanya mambo yenye tija kwa taifa lako achana na kutafuta kiki kwa wasanii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida yenu mnajua kuandika sana kuliko kufikiri... sasa hao uliowataja na katiba zao na yetu zina fanana? yetu haitoi mwanaya kwa Rais kushitakiwa hata akimaliza muda wake...hata ikibadilishwa maana yake hata yeye haito muhusu baadala yake sheria itaanzia pale ilipobadilishwa
Unajidanganya kama mazezeta wenzako. Katiba imeandikwa na watu, watu hao hao wanaouwezo wa kuamua kumfanyia Nini kiongozi aliyewafanyia uhuni kinyume cha kiapo chake. Huwezi kuvunja haki za watu halafu udai utalindwa na Katiba, sahau!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom