Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Rais wa Israel yupo ndani rais wa Brasil yipo ndani ,rais wa korea yupo ndani,rais Gabo yupo ndani

Ukiwa umshikilia mpini huwezi ona kosa..kwa sasa wao wana dola..siku itakuja watakapokuwa hawana dola..watakuwa toothless..bila ya kuwa na maamuzi

Sheria huwa zinabadirika..hata Sadam Hussen hakujuwa kama atakuja hukumiwa kifo kwa makosa yake ya nyuma maana alikuwa kakalia mpini

Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yenu mnajua kuandika sana kuliko kufikiri... sasa hao uliowataja na katiba zao na yetu zina fanana? yetu haitoi mwanaya kwa Rais kushitakiwa hata akimaliza muda wake...hata ikibadilishwa maana yake hata yeye haito muhusu baadala yake sheria itaanzia pale ilipobadilishwa
 

Sikuwa namtilia maanani sana msanii huyu awali lakini baada ya kumsikiliza nimegundua ana akili sana tofauti na wanavyo mchukulia watu wengi.
Mwishoni mwa mahojiano yake katoa ushauri Kwa Makonda aache kujiingiza mambo mengi yasiyo maana ikiwemo wasanii Kwa kutaka wamsifie wakati wao wanataka hela tuu.
Ajikite mambo ya maana ikiwamo kuboresha hata Segerea kwani yeye au hata Magufuli kama kuna waliyotenda Kwa makosa sasa wajue wataenda kule hivyo waboreshe makazi yao.
Ujumbe murua, Ila waweza kubezwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mungu mbariki Chid Benz
 
Sasa Makonda aende segerea kwa kosa lipi? Magufuli aende segerea kwa katiba ipi? hahahaha leo chid benz kawa kipenzi cha chadema
tatzo ni kuamin kwamba wote watakaoshika madaraka watakua na akili kama za Magu au za kwako. kwa taarifa yako katiba inabadilika sio msaafu ule!! mimi nikishika madaraka cha kwanza ni kuondoa kinga ya viongoz kutoshitakiwa!!

ila namwonea huruma Chid Benz maana kuanzi sasa akikamatwa na japo msokoto wa bangi lazma afungwe jera!! anamsema mwana mfalme!!! tukumbuke awali hata akamatwe na madawa ya kulevya kama yote alikua hafanywi chochote ila kwa sasa atajuta kumsema mwana mfalme
 
Ndg!!! Ujumbe unaendana na mtu aliyeutoa!!! Ndio maana kuna baadhi ya ujumbe hauwezi kutolewa na mtu fulani kutegemeana na umri au kazi anayoifanya!!!! Au hali yake ya maisha

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Sio kweli wewe tu una chuki na Chid ndio maana huoni zuri toka kwake.Angesifia CCM ndio ungemuelewa.Kaongea very neutral Ila ni Ujumbe wenye ukweli Fulani lkn we unaona kama jamaa chizi hivyo na Ujumbe wake haufai.Unafikiri kuna mtu aliwahi fikiria kuwa Rugemalira na Singh Seth watakuwa mahabusu siku moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Luke nae nahisi ubongo wake una shida,sijaona tatizo hapo linalomfanya atumie nguvu nyingi kupinga,CHID kaongea mambo ya maana sana,haijalishi ana hali gani...
 
Unafuata reasoning ya mjinga angalia anakuvuta kwake!

Kama haijanivuta CCM atanivuta huyo? Hapa tunajadili hoja yake hatumjadili mleta hoja, na hili ndiyo kosa kubwa la maccm, ndiyo maana hata bungeni wapo wengi lakini muda mwingi wanapoteza kuwajadili wabunge wa upinzani badala ya kujibu hoja zao. Na hata suala la Lissu Serikali nzima inapambana na Lissu badala ya kujibu hoja zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom