Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Na si ngumu kwa kweli. Maana nadhani bado ni teja.

Na kumbambikia si ngumu pia.

Ila kama NGADA inaleta akili, mtizamo chanya na ujasiri kama aliouonyesha chidi benzi basi namimi 'naitaka'
Ule sio ujasiri amejikatia tamaa hapa nje anapaona pabaya anataka akae ndani ili apumzike!Ogopa kupigana na mtu aliyekwisha kunywa diazinon!
 
We jamaa una akili sana sema unapochangia jukwaa la siasa unakuwa ka jinga flani hivi

Sent using Sukhoi Su-57
Una haki ya kuandika Utumbo. Ukizingatia bundle unagongea kwa WiFi ya shemeji. Jiachie kamanda. Omba Mungu dada asibugi stepu maana utapata Tabu sanaaa.
 
Amewasema Weusi hapo ameharibu mpaka clouds, ukiwaudhi Weusi umewaudhi Clouds.
 
Una haki ya kuandika Utumbo. Ukizingatia bundle unagongea kwa WiFi ya shemeji. Jiachie kamanda. Omba Mungu dada asibugi stepu maana utapata Tabu sanaaa.
Nothing personal, you have the right to be insane.

Sent using Sukhoi Su-57
 
Kama haijanivuta CCM atanivuta huyo? Hapa tunajadili hoja yake hatumjadili mleta hoja, na hili ndiyo kosa kubwa la maccm, ndiyo maana hata bungeni wapo wengi lakini muda mwingi wanapoteza kuwajadili wabunge wa upinzani badala ya kujibu hoja zao. Na hata suala la Lissu Serikali nzima inapambana na Lissu badala ya kujibu hoja zake.
 
Hawachelewi kusema Chidi Benz anatumiwa na mabeberu na kuhoji uraia wake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom