Msanii CeeLo Green alipukiwa na cmu usoni

kedrick

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
5,058
4,861
Msanii n muigizaji wa marekani CeeLo Green amelipukiwa na simu usoni aliokuwa anatumia kuongelea wakati yupo studio na tukio zima lilinaswa na security camera zilizopo kwny studio yake. Video la tukio zima nimeiambatanisha hapo chini
Hadi sasa yupo hospitalini na hamna taarifa zaidi iliotolewa kuhusu hali yake.
ceelogreen-20161217-0001.jpg
 

Attachments

  • theshaderoom-20161217-0001.mp4
    1.3 MB · Views: 43
Hilo tukio ni feki na yeye mwenyewe kakiri hivyo.

After video footage showing Ceelo Green collapsing onto the floor after a cellphone seemingly exploded in his hand went viral Saturday, the singer is speaking out about the incident.

The singer took to Facebook Saturday evening to tell fans that the footage was fake and that he wasn't harmed.

"I just want to let everybody know that I am alive and I'm well and I'm OK," he said. "Truthfully, I'm really upset that anybody had to be emotionally disturbed by what they saw today."

https://gma.yahoo.com/ceelo-green-b...xplosion-video-165704736--abc-news-music.html
 
Hii issue ingekuwa kweli, kampuni iliyotengeneza hiyo simu ingekuwa sued down to their last dime.
 
Hawa watakuwa iphone katika kale ka vita kasiko na damu.

Hii inazidisha tension kwa wapinzani.hata kama sio kweli, watu watahitimisha ni zile senye kulipuka.
 
Hakuna Ufeki wala nini hiyo Footage ni ya Ukweli Kabisa,Ceelo Green ameanguka kama kiroba kweli jamaa ni Oga Sana.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom